brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Akihojiwa katika kituo cha radio citizen nchini Kenya mrembo kutoka Tanzania hamisa Mobeto anasema alikuwa anajua Kama Diamond yupo na Zari na alikubali kufanya mahusiano yake na Diamond yawe ya Siri ili Zari asijue kwasababu Diamond alimwambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na yeye alikubali ili mradi anapata mahitaji yake muhimu.
Hamisa" Diamond aliniambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na Mimi nilikubali kuwa mke wa pili sikuona tatizo kushare na Zari, muhimu mahitaji yangu napata sio lazima Kila mtu ajue nipo na Nani, ila ndo hivo diamond hajielewi".
Kwasasa naelekeza nguvu zangu kwenye musiki nimesha move on na maisha yangu.