Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Akihojiwa katika kituo cha radio citizen nchini Kenya mrembo kutoka Tanzania hamisa Mobeto anasema alikuwa anajua Kama Diamond yupo na Zari na alikubali kufanya mahusiano yake na Diamond yawe ya Siri ili Zari asijue kwasababu Diamond alimwambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na yeye alikubali ili mradi anapata mahitaji yake muhimu.
Hamisa" Diamond aliniambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na Mimi nilikubali kuwa mke wa pili sikuona tatizo kushare na Zari, muhimu mahitaji yangu napata sio lazima Kila mtu ajue nipo na Nani, ila ndo hivo diamond hajielewi".
Kwasasa naelekeza nguvu zangu kwenye musiki nimesha move on na maisha yangu.
41615518_320376722060054_5739279845852011191_n.jpg
 
Akihojiwa katika kituo cha radio citizen nchini Kenya mrembo kutoka Tanzania hamisa Mobeto anasema alikuwa anajua Kama Diamond yupo na Zari na alikubali kufanya mahusiano yake na Diamond yawe ya Siri ili Zari asijue kwasababu Diamond alimwambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na yeye alikubali ili mradi anapata mahitaji yake muhimu.
Hamisa" Diamond aliniambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na Mimi nilikubali kuwa mke wa pili sikuona tatizo kushare na Zari, muhimu mahitaji yangu napata sio lazima Kila mtu ajue nipo na Nani, ila ndo hivo diamond hajielewi".
Kwasasa naelekeza nguvu zangu kwenye musiki nimesha move on na maisha yangu.View attachment 878568
Ana nywele za kizungu, halafu ni mweupee kuliko huyo msela hapo nyuma. Duh.
 
Ila wanawake wana mioyo ya tofauti sana sana. Wabarikiwe sana mama na dada zetu. Kushare siyo kitu rahisi rahisi kwa mwanaume; jambo linaloweza hatarisha uhai wa mtu hiv hiv
Hakuna mwanaume anaekubali kushare unless labda mke wa mtu unajua unapiga alafu unatembea lakini sio kuweka makazi hapo
 
Pesa chafu ata awe mkee wa 20 atakubali tu
Ila wanawake wana mioyo ya tofauti sana sana. Wabarikiwe sana mama na dada zetu. Kushare siyo kitu rahisi rahisi kwa mwanaume; jambo linaloweza hatarisha uhai wa mtu hiv hiv
 
Sitaki [emoji57][emoji57][emoji57]
Katika kuperuzi peruzi kwangu nimegundua kuwa hili: mama Faiza aliachana na Sugu lakini mpaka sasa anamwota usiku na mchana na angekuwa na uwezo wangerudiana ila basi tena majuto ni mjukuu! Huyu mama Hamisa naye kila kukicha anamwota Diamond na angekuwa na uwezo angemfanya amwoe hata leo usiku
 
Anaelekeza nguvu zake kwenye muziki?
 
Back
Top Bottom