Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Usikute wewe jamaa ni kijana
 
We mwanamke unawivu sio kwa povu hili ulilolitoa. Diamond alishuka siku nyingi amabaki kuishi kwa kiki, anakula matunda ya umalaya wake na Ni majibu ya kumuita Hamisa bitch wakati yeye hana aibu anamlaza kwenye kitanda wanacholala na mkewe? Huyo dogo analaana sio bure mambo ya FM hayo
 
Wakuu Dctv nifungulie Chanel number ngapi niangalie huu mtanange??? Au kama ipo link ya livestream aiweke hapa tu stream
 
Zari ni mkewe.. kwani vipeeee!!!
Hamkualikwa ile juzi hapa?
Ila Zari kiboko..
Mnamuongelea kama vile yeye ni mwanamke wa kwanza duniani kuwa na nwanaume aliyechepuka. Zari kiboko kwa sababu ni kiboko.. Tusipitwe jamani wiki ingine ya udaku huu.. ha ha haaaa.. duh!!! 10am Diamond atakuwa leo tena clouds fm. mwaga cheche usiogope. Na pia Zari ni kiboko tena na tena.. hatoki na mlie kabisa.. hamtamtoa.. Mombasa waliyamaliza pwaaaa
 
Ila bi dada kajitahidi kulenga maana kazaa na watu wenye pesa zao tu hahaha
 


Ni hivi, si kila mwanamke inabidi aolewe au kila mwanamme inabidi aoe. Kuna wanawake wana mikosi na hawafai kabisa kuolewa. Wao ni kuchapwa tu na kudhalilishwa kisha wanabaki kuwa uwanja wa mazoezi kama huyu Hamisa. Bahati nzuri wanawake wa namna hii wanaonekana mapema au kuanza kuchezewa mapema. Hakuna mwanamme anayetaka kuoa changuadoa au hata kuzaa naye kwani kuna uwezekano wa mtoto utakayezaa kuwa na tabia za Mama yake (changudoa). Diamond kama kweli kazaa na huyu Hamisa imekula kwake.
 
BAADA YA HII SAGA,KILA MTU ATAMUONA KAMA CEO WA MA MALAYA TZ,HIVI KWELI KUMBE ANAJIRASHISISHA AKIWA NA NIA YAKE MWENYEWE
 
Mambo ya IG hayo ila mama flani mwandiko wako hausomeki
 
NAWE UKITAKWA KULAZWA NA MONDI NA KULIWA MZIGO ILI MBELENI UJE KUTUPIA KWENYE MITANDAO,BASI USISAHAU KUJA NA SIMU ILI UPIGE PICHA,NDO KAZI YA MALAYA DIZAINI YENU
 
Kuna nini kwani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au kuna mtu kaachwa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duller kanichekesha hataki hata kuvote,diamond akicheza vibaya atashuka watu hawana hamu nae, yani this shit inanifanya naumia na mimi, domo umezingua mi sipo kwenye team zari wala Hamisa sijapenda domo alivyomchoresha bibi yani hio ni mwisho, ila pia hamisa inaonekana alishajua hapo zari kuachana na domo ni kazi akawa anarecord video za kuibia ili siku akikanwa akinukishe aisee shkamooni wanawake
 
Na usimpe pesa yyte ile,mpuz sana huyu malaya wa kike acha agongwe s kajilahisisha bwana ila zari we achana na mabeto hyu alikuja kwa lengo la kupata pesa kwa mond na kufalakanisha uhusiano wenu nadhani hili sio sababu ya ww kuachana na mond,zimisha hili na endelea na mshikaj tuone wanachomokea wapi tena,ila mond na ww tulia bwna usiwe mroho wa ma k mwisho uje utuaibishe bure hebu tulia na zr bwana
 
Kugongana wagongane wenyewe, utamu wapate wao kujadili tena mje kujadili wengine ambao hata hamkushirikishwa kwenye hilo tendo... Kama huu siyo use.... Ni nini
 
Yani kuna post tzshaderoom aliweka ya single mamas talk heee ukipita mule utachoka watu wanafunguka na kujisifia jinsi wanavyohudumiwa na kufunguliwa biashara na waume za watu, najiuliza ni hali ngumu au nini, watu kuutafuta na kuufurahia usingle mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…