Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hahahhaa, MSHAMALIZA ISHU YA SEDUCE MEKWAMBA IMEVUNJA RECORD


IMEKWISHA NA MNAONA KIPIGO MLICHOKIPATA



SASA WIKI ILOPITA MKAHAMIA NAMIBIA


MMERUD TZ SASA

DAAAAHHH,ROHO ZA CHUKI MBAYA SANAAA


HAYA SASA HAMISA KA KAZWA NA KWA KUA MONDI ALIKUA YUPO HOI,NA KWA KUA NI MALAYA BASI NDO HVYO YANIIIIII



MAISHA YAENDELEENA ALEE MTOTO KAMA WANAWAKE WENGINE TU
Usikute wewe jamaa ni kijana
 
We mwanamke unawivu sio kwa povu hili ulilolitoa. Diamond alishuka siku nyingi amabaki kuishi kwa kiki, anakula matunda ya umalaya wake na Ni majibu ya kumuita Hamisa bitch wakati yeye hana aibu anamlaza kwenye kitanda wanacholala na mkewe? Huyo dogo analaana sio bure mambo ya FM hayo
 
Wakuu Dctv nifungulie Chanel number ngapi niangalie huu mtanange??? Au kama ipo link ya livestream aiweke hapa tu stream
 
Zari ni mkewe.. kwani vipeeee!!!
Hamkualikwa ile juzi hapa?
Ila Zari kiboko..
Mnamuongelea kama vile yeye ni mwanamke wa kwanza duniani kuwa na nwanaume aliyechepuka. Zari kiboko kwa sababu ni kiboko.. Tusipitwe jamani wiki ingine ya udaku huu.. ha ha haaaa.. duh!!! 10am Diamond atakuwa leo tena clouds fm. mwaga cheche usiogope. Na pia Zari ni kiboko tena na tena.. hatoki na mlie kabisa.. hamtamtoa.. Mombasa waliyamaliza pwaaaa
 
Ila bi dada kajitahidi kulenga maana kazaa na watu wenye pesa zao tu hahaha
 
Sijadili maisha ya watu, lakini Hamisa ni MALAYA. Si mwanamke wa kuoa. Na diamond akikosea amwache Zari, eti aoe huyu malaya, hatatulia tena.

Hakuna mwanamke mwenye busara na aliyetulia, atakuwa na matabia kama ya hiki kijukuu changu hamisa. Ninahisi amelelewa bila baba wa maana ndiyo sababu anakishi kichangudoa doa. Anachokifanya ni kumdhalilisha mtoto.


Ni hivi, si kila mwanamke inabidi aolewe au kila mwanamme inabidi aoe. Kuna wanawake wana mikosi na hawafai kabisa kuolewa. Wao ni kuchapwa tu na kudhalilishwa kisha wanabaki kuwa uwanja wa mazoezi kama huyu Hamisa. Bahati nzuri wanawake wa namna hii wanaonekana mapema au kuanza kuchezewa mapema. Hakuna mwanamme anayetaka kuoa changuadoa au hata kuzaa naye kwani kuna uwezekano wa mtoto utakayezaa kuwa na tabia za Mama yake (changudoa). Diamond kama kweli kazaa na huyu Hamisa imekula kwake.
 
Diamond Anaangaika kujishusha mwenyewe tu, iweje atembee na Malaya kwenye nyumba yake?, kwa nini isiwe hotelini?
Wanaomchukia ndio wanapitia kwenye nyufa anazozitengeneza mwenyewe

Pamoja na hayo, Huyo Msichana anayesambaza picha akiwa na Diamond ni mwanamke mwenye upeo mdogo sana, na itashangaza sana kwa Diamond kama hatamuomba msamaha Zari na akubali kuachana na Zari kirahisi hivyo
Mabeto haingii hata Robo ya Zari kwa Uzoefu wa kukaa na Mwanaume, kutafuta pesa na pia jinsi ya kujiweka kwenye class kitu ambacho alimsaidia sana Diamond,
Sasa huyo Mabeto kazi yake ni Video queen ndio kweli atashindana na Zari?, Mabeto amejidharirisha sana kujionyesha kuwa kweli yeye ni wa kuchapwa tu
BAADA YA HII SAGA,KILA MTU ATAMUONA KAMA CEO WA MA MALAYA TZ,HIVI KWELI KUMBE ANAJIRASHISISHA AKIWA NA NIA YAKE MWENYEWE
 
Mambo ya IG hayo ila mama flani mwandiko wako hausomeki
 
We mwanamke unawivu sio kwa povu hili ulilolitoa. Diamond alishuka siku nyingi amabaki kuishi kwa kiki, anakula matunda ya umalaya wake na Ni majibu ya kumuita Hamisa bitch wakati yeye hana aibu anamlaza kwenye kitanda wanacholala na mkewe? Huyo dogo analaana sio bure mambo ya FM hayo
NAWE UKITAKWA KULAZWA NA MONDI NA KULIWA MZIGO ILI MBELENI UJE KUTUPIA KWENYE MITANDAO,BASI USISAHAU KUJA NA SIMU ILI UPIGE PICHA,NDO KAZI YA MALAYA DIZAINI YENU
 
Kuna nini kwani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au kuna mtu kaachwa?
 
View attachment 591318 jina limebadilishwa na kama mnavyoona picha baba wa mtoto ni daimond ,na za chino ya kapeti mama mtu na Esma eti hiyo ni kumkomesha zari[emoji23][emoji23]
Hamissa nilikua nasubiri hii siku maana nilikua siamini
Kesho daimond sijui atasemaje,na hapo unaambiwa Hamisa hajanya akinya team zari mtakufwa na presha,,,
Hata mi ningekuwa hamissa huko kukanwa vepe kwani Zari ana nini
Tena hamisa iingie fasta nyingine ulete wa pili mlingane [emoji23][emoji23][emoji23]
duller square jamano hana hamuView attachment 591327
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duller kanichekesha hataki hata kuvote,diamond akicheza vibaya atashuka watu hawana hamu nae, yani this shit inanifanya naumia na mimi, domo umezingua mi sipo kwenye team zari wala Hamisa sijapenda domo alivyomchoresha bibi yani hio ni mwisho, ila pia hamisa inaonekana alishajua hapo zari kuachana na domo ni kazi akawa anarecord video za kuibia ili siku akikanwa akinukishe aisee shkamooni wanawake
 
Na usimpe pesa yyte ile,mpuz sana huyu malaya wa kike acha agongwe s kajilahisisha bwana ila zari we achana na mabeto hyu alikuja kwa lengo la kupata pesa kwa mond na kufalakanisha uhusiano wenu nadhani hili sio sababu ya ww kuachana na mond,zimisha hili na endelea na mshikaj tuone wanachomokea wapi tena,ila mond na ww tulia bwna usiwe mroho wa ma k mwisho uje utuaibishe bure hebu tulia na zr bwana
 
Kugongana wagongane wenyewe, utamu wapate wao kujadili tena mje kujadili wengine ambao hata hamkushirikishwa kwenye hilo tendo... Kama huu siyo use.... Ni nini
 
Welcome to Tanzania. Nchi ambayo mwanamke (mwenye wazazi) anazaa na mwanaume wa mtu na anaona fahari kabisa. Zile siku ambazo mwanamke aliolewa, akakaa kwenye ndoa yake kwa heshima na huku akitaka kuheshimiwa na mumewe zilienda wapi?

Zari ana akili sana. Kunyamaza ni dawa kweli kweli. Hata kama hamisa amezaa na diamond, hakuna ufahari wowote wa kujivunia hapo! Angekaa kimya akipata child support agange njaa.
Yani kuna post tzshaderoom aliweka ya single mamas talk heee ukipita mule utachoka watu wanafunguka na kujisifia jinsi wanavyohudumiwa na kufunguliwa biashara na waume za watu, najiuliza ni hali ngumu au nini, watu kuutafuta na kuufurahia usingle mama
 
Back
Top Bottom