Naona kumshusha kimuziki imeshindikana, sasa ni upande wa pili kumshusha kimahusiano.
Hamisa kama alimegwa kamegwa tu, na si alikua amejitega kwa sababu ya nia yake aliyokua anaijua????
Basi sawa kwa mwanamke anayejitambua kama Zari atakaaa chini atasoma lengo la huyo Hamisa kiundani
Atampotezea na watasameheana yataisha.
Funzo ukichepuka na wanawake namna hii, kuwa makini sanaaaa, maaana huwa wanaelewa wamefatwa kwa ajili ya mahusiano ila wao wanaamua ibu ya wengine
Twendeee mzee Mondi, najua team hater's leo wanajidai wanahuruma sana na Zari, maana dizaini fulani hivi wameona kama wanaanza kufanikiwa kuwatenganisha.
Huko walipo Mange na Wema naona kwa wakifanikiwa kwa hili watafanya party kabisa, maana si kwa battle hili la miaka 3 mfululizo hawachoki kupambania kuharibu mahusiano haya