Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Naona kumshusha kimuziki imeshindikana, sasa ni upande wa pili kumshusha kimahusiano.

Hamisa kama alimegwa kamegwa tu, na si alikua amejitega kwa sababu ya nia yake aliyokua anaijua????

Basi sawa kwa mwanamke anayejitambua kama Zari atakaaa chini atasoma lengo la huyo Hamisa kiundani
Atampotezea na watasameheana yataisha.

Funzo ukichepuka na wanawake namna hii, kuwa makini sanaaaa, maaana huwa wanaelewa wamefatwa kwa ajili ya mahusiano ila wao wanaamua ibu ya wengine

Twendeee mzee Mondi, najua team hater's leo wanajidai wanahuruma sana na Zari, maana dizaini fulani hivi wameona kama wanaanza kufanikiwa kuwatenganisha.

Huko walipo Mange na Wema naona kwa wakifanikiwa kwa hili watafanya party kabisa, maana si kwa battle hili la miaka 3 mfululizo hawachoki kupambania kuharibu mahusiano haya
ww huna kazi ya kufanya nn? mbona mapema yote hii unaleta ujuha? ebu tafuta kazi ya msingi ufanye upate ata buku tuu
 
Havi wabongo hamjajua tu kua diamond mzee wa kiki story zinazoendelea mtandaon ndivo anavopenda kuongelewa hizi kiki ndo zimemfanya apo alipo wala hakuna kipya
 
Na usimpe pesa yyte ile,mpuz sana huyu malaya wa kike acha agongwe s kajilahisisha bwana ila zari we achana na mabeto hyu alikuja kwa lengo la kupata pesa kwa mond na kufalakanisha uhusiano wenu nadhani hili sio sababu ya ww kuachana na mond,zimisha hili na endelea na mshikaj tuone wanachomokea wapi tena,ila mond na ww tulia bwna usiwe mroho wa ma k mwisho uje utuaibishe bure hebu tulia na zr bwana
NDO HAWA WENYE BIASHARA ZA WANAUME MJINI,WAPO FASTA KUCHUKUA PICHA NA WANAKUTAGET KWA KILA UPENYO WATAOUPATA WANAMALIZA KAZI,MBONA HATA MITAANI WANAIBA WAUME ZA WATU SANA TU KISHA WANAPIGA PICHA WANAWATUMIA HAO JAMAA ZAO WAKITAKA WAPEWE PESA OTHERWISE WANAVUJISHA KWA WAKE ZAO,NDO MANA AMEITWA MALAYA TU,NA ZARI HAWEZI MUACHA MONDI KWA STAILI HII YA MALAYA KUJILENGESHA,AND LASTLY DEMU KAPANIKI HUYOOO NA KAKOSA HATA HIZO HELA ALIZOTAKA NDO KAAMUA KUVUJISHA,KUMBE NA YEYE ZINA MUHARIBIA TU
 
kwanza umeshajadili maisha ya watu. pili MALAYA ni huyo dai....hivi angetuliza kengele zake huyo hamisa angembaka?
huwezi lala na mtu ukamzalisha halafu umkane mtoto na kumtusi juu. mond kakosea sana kamkosea zari na hamisa pia. mmezoea lawama zote kwa wanawake tu bila kuangalia chanzo.
hamisa sio mjinga lazima aliahidiwa makubwa hadi akaamua kuzaa kabisa. asingerudia kosa kijinga jinga wakati alishafanya kosa kwa majizo...... lkn sasa huko kukanwa hadharani ndio kumechefua.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Demba usinifurahishe bana, unazaa kwasababu umehaidiwa makubwa hio ni akili kweli??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jesus nimecheka kama hizi ni akili zetu acha tuendelee tu kuchezewa

Kwani Hamisa ni mtoto mdogo kavunja ungo juzi kwamba hajui uongo wa wanaume? Huwezi kushindana na mwanaume tena ningekuwa mimi hamisa nilishazalishwa this time ningekuwa makini sana
Njaa imemfanya ajitegeshe mimba hapo thinking mwanae akihudumiwa naye atapatamo, unataka kuniambia domo alimbembeleza amzalie akamwahidi vitu vikubwa kwa lipi meanwhile tayari anao watoto wa kike na wakiume, Diamond angeweza kuikubali hio mimba wala si kama hawezi ila it seems hamisa kuna kitu amefanya domo ahisi si yake
Hamisa hapo kachemsha uzuri wote kmbe kichwani zero
 
kwani Diamond ni mtoto mdogo mpaka vitu vidogo hivi useme ni jaribio la kumshusha??

mwacheni kijana apambane na mahusiano yake.
 
ww huna kazi ya kufanya nn? mbona mapema yote hii unaleta ujuha? ebu tafuta kazi ya msingi ufanye upate ata buku tuu
HAHAHAAA NIMECHEKA SANA,KWELI NYANI HAONI KUNDULE,HAYA MWENYE KAZI YA KUFANYA NAONA MZIMU WA COMMENT YAKO HAPAAA
 
watanzia shkamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kugongana wagongane wenyewe, utamu wapate wao kujadili tena mje kujadili wengine ambao hata hamkushirikishwa kwenye hilo tendo... Kama huu siyo use.... Ni nini
WAPUUZI NI HAO WANAOKAMALIA JAMAA AACHANE NA DEMU WAKE,WAKIONGOZWA NA NYUMBU MKUU MANGE MWENYE ROHO YA KOROSHO
 
Zari ni mkewe.. kwani vipeeee!!!
Hamkualikwa ile juzi hapa?
Ila Zari kiboko..
Mnamuongelea kama vile yeye ni mwanamke wa kwanza duniani kuwa na nwanaume aliyechepuka. Zari kiboko kwa sababu ni kiboko.. Tusipitwe jamani wiki ingine ya udaku huu.. ha ha haaaa.. duh!!! 10am Diamond atakuwa leo tena clouds fm. mwaga cheche usiogope. Na pia Zari ni kiboko tena na tena.. hatoki na mlie kabisa.. hamtamtoa.. Mombasa waliyamaliza pwaaaa
Hahahah angalia wanaoshabikia wengi wanamaumivu ya waume zao kuchepuka
Eti kosa la domo, mbona huko majumbani kwenu hamuoni makosa mnasamehe waume zenu
Zari komaa, tena ningekuwa mimi after this huyo dully asingeonja hata mia ya domo sharti aje aishi na wenzie kina tiffa ndio atahudumiwa
Haya maisha bana we ukihisi unanikomesha mi ndio naanzia ulipoishia
 
Hamisa mobeto inasemekana ana moto wa Diamond. Diamond kakataa mtoto. Hamisa ameforce kweli kingi mpaka na kubadili jina la mtoto huko insitagramu. sasa mi nauliza tu.... ivi uno mtoto angekua amezaa na mnyakyusa mimi apa angelazimisha pia kua mtoto ni wangu na kumpost mitandaoni kwa jina langu la kisukuma kwa Dulla Anshikile Mwakitako au angetulia na kukubali kua single mother?

wanaume jifunzeni somo capa. vita na mwanamke haitakuacha salama we jisifie tu kumpangua mashambulizi kitandani wana timing hao

[HASHTAG]#HAMISA[/HASHTAG] tukienda lodge simu na pochi unaacha reception
 
We nawe sasa mbona kitu kidogo hiko sana kuzaa hv mziki wake unashukaje sasa?

Na kwa nini Zari asimsehe s atakua mpumbavu sasa
Wabongo ndio tunakuza hii issue kujifanya kila mtu anajua kuwajadili
Sioni jipya sioni kosa la Hamisa maana ni dhahiri hakuna mtoto asiye na baba hata kama baba huyo kamkataa mtoto hadharani,ila ukweli ni kua damu zao zitasadifu kua ni mtoto wa mwanaume fulani
Jf kila wakati hapa tunawasema ma single mama juu ya kuwapa watoto zao ubini wa baba zao,sasa kuna jipya gani hamissa alimpa mwanae ubini wa babake hata kama baba amemkataa mtoto!?
Zari zari zari,who is Zari? Ni mke halali wa Diamond ama? Hivi jamani wana cheat ma sheikh na wachungaji mpaka kuzaa watoto na bado wake zao hawapewi huruma anayopewa Zari sasa hivi hapa bongo!
Tuache upumbavu ni upunguani kuingilia na kujifanya tunayajua sana ya watu, hivi Dk. Remmy Ongala alikua na watoto wangapi wa nje lakini hakushuka kimuziki mpaka Leo hii Diamond ashuke kwa mtoto aliyezaa na Hamisa?
Tatizo ninaloliona
1.Diamond ana uswahili mwingi sana,yaani pamoja na kupaa kwa pipa kwenda mataifa ya waliyostaarabika lakini bado zile tabia za Tandale hazijamtoka! Zile za kutaka kushindana na kila linalosemwa juu yake
2.Hamisa hataki kushindwa kwa kuonekana anamsingizia Diamond,hivyo anafanya kila limjialo moyoni mwake ili tu aithibitishie Dunia anachokificha Diamond
3.Zari yeye anatafuta huruma ya watanzania kwa kuonekana anaonewa ilihali na yeye mwenyewe alimuiba huyo mwanaume wakati akiwa mikononi mwa mwanamke mwingine
 
Wewe endelea na mipasho yako lkn anayelala na malaya nayeye ni malaya tu.
Nani alikudanganya kuna wakati tunatia nje kuboresha

Mahusiano ya ndani ...huwezi kila siku unapiga kitu kile

kile tu .....that is abomination put that to your little head
 
Hamisa ni mjinga tu.....hivi hajuwi kama hakuna mwanamme dunia hii anayependa kuzaa na changudoa? Diamond anaona haibu kujulikana kazaa na changu ila Hamisa hii bado hajajuwa.
 
picha si alikubali kuoigwa mwenyewe , alitegemea nini. as a man kwenye contravercial issues kama hizi hutakiwi kujianika. why taking a picture?? ndiyo majibu ya darasa la saba haya. no thinking
 
Back
Top Bottom