Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

Wanasikitisha sana..


Wanacheza na akili za watu...

Kitendo cha kusema kahaidiwa kuolewa ndiyo maana katembea na fulani ni utetezi wa kitoto sana...


cc: mahondaw
 
mwanamke mzuri akikosa akili zinazoumia nisehemu zake za siri.
 
Akili za wanawake shida sana,umeishazalishwa,kelele za nini,shukuru umezalishwa na mwenye Hera zake,ungezalishwa na konda wa daladala,ungepiga hayo makelele,side chicks wanashida sana,tafuta cha kufanya mama,acha kutafuta kiki kwenye media,uongo kwenye mapenzi jambo LA kawaida,wewe sio wa kwanza,tumeishadanganya wengi,get life and move on,wahenga waliyaona mapema,debe tupu haliachi kutika,sasa unaenda kubwabwaja kwenye radio ili uonewe huruma?unashindana na Mond?,unataka uwe mke wa pili?
Kama hupati matumizi,nenda ustawi wa jamii,na wewe ni mtoto wa kiislam kuwa na heshima basi,umeishakuwa mzazi mwenza,omba mtaji,tafuta cha kufanya,au ni kilaza kwamba,huwezi kujitegemea mpaka uwekwe ndani? Get life bitch!
 

Siku zote Psychologically ' counter ' nzuri hutakiwa kufanywa ndani ya 24 au 48 hours tu ili kuipa umuhimu wake lakini Wewe umesemwa Jumatatu hii halafu nawe unakuja kujibu Jumatatu ijayo hapo impact yake kwa Walaji huwa ni finyu sana na hata hakuna atakayeipa Kipaumbele.

Ndiyo maana kila siku huwa nasisitiza kwamba Watanzania mjifunze kuwatumia Watu wa Communication hasa wale ' waliobobea ' katika Communication Psychology ili wawe wanawasaidia hasa katika mambo nyeti na muhimu kama haya ili taswira zenu in Public zisiharibike.

Alichokifanya Diamond majuzi kimemaliza kila kitu na kimekidhi Kiu yote ya Sisi ' Wambea / Mashilawadu ' na tumeelewa nini tatizo, nani ni Mjinga / Ngumbaru na nani ni Mpumbavu / Popoma hivyo Hamisa Mobetto kutaka kuja Jumatatu ijayo kufanya ' counter ' ya jambo zima nimwambie tu kwamba amechelewa tena mno na kama ana mshauri wake ambaye atasoma hili ' bandiko ' langu amwambie asitishe tu huo mpango Kwani hana jipya na ndiyo Kwanza tutazidi Kumdharau kama ambavyo sasa tumeshaanza Kumdharau.

Counter ya Hamisa Mobetto ingekuwa na ' mantiki / tija / mashiko ' kama ile majuzi Diamond angemkataa yule Mtoto ila Kitendo cha Diamond kukubali tayari ni pigo ' takatifu ' na la ' Kutukuka ' kabisa kwa Hamisa hivyo asipoteze muda na sana sana tu sasa ajikite katika ' Kumnyonyesha ' maziwa huyo Mtoto ili akue.

Diamond juzi aliongea Kiume na Wanaume wenye akili zetu tulimwelewa. Hakuna Mwanaume ' asiyebandua ' nje duniani. Hivi kama ' Mbunye ' ya Zari muda wote ipo tu South Africa mnadhani ' Mkuyenge ' wa Daimond nao hautaki Kukojoa? Tena namsifu kweli Diamond kwa ' Kumtambalizia ' nao ' Mkuyenge ' wake Hamisa Mobetto hadi kumpa ' Kibendi '. Napenda mno Wanaume wanaojua kutumia vizuri ' Mikuyenge ' yao iliyotukuka Kwa ' Kubandua ' Mademu / Wanawake wanaoshoboka / wanaojipendekeza / wanaowashwawashwa.

Diamond Platinum Kwangu Mimi na kwa Kitendo alichofanya kwa Hamisa Mobetto, Kukiri na Kuomba radhi namwona ni Bonge la Shujaa wa Kizazi hiki chetu cha Vijana au dotcom.
 
Hivi hamisa anaweza akalingana na wema kwa umri au
 
Infant food ambazo si natural kwa nearly 6 months old. Mdosi anasema infant ha-lactate na natural food ni shida kwa beki tatu kutayarisha. Unashauri vipi?
Miezi sita mtoto anakuwa whined inamaana anaweza kula chakula wanachokula wakubwa kikisagwa vizuri pia kuzingatia kiwango cha chumvi
 
Miezi sita mtoto anakuwa whined inamaana anaweza kula chakula wanachokula wakubwa kikisagwa vizuri pia kuzingatia kiwango cha chumvi
Thanks nadhani hiyo ndiyo solution kuhakikisha kinatolewa katika portion ya wakubwa excluding chumvi. Nitamjuza mdosi. asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…