Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf kuna.majukwa zaidi ya 32 kuna jukwaa la kilimo na mengine mengi hii habari iko mahali pake ukitaka kuhusu kilimo nenda jukwaa la kilimo.Hebu tujaribu kuweka mambo ya msingi yanayotujenga jamani...Mtu mzima unatuletea habari za wazinifu humu zinatusaidia nini sisi?
Kuna mdosi anakutafuta!Mh mjini kuna mambo hata si hami.
Nimeshapita muda wa matumizi amechelewaKuna mdosi anakutafuta!
Hujaelewa siyo masuala hayo ni kupata ushauriNimeshapita muda wa matumizi amechelewa
Akili za wanawake shida sana,umeishazalishwa,kelele za nini,shukuru umezalishwa na mwenye Hera zake,ungezalishwa na konda wa daladala,ungepiga hayo makelele,side chicks wanashida sana,tafuta cha kufanya mama,acha kutafuta kiki kwenye media,uongo kwenye mapenzi jambo LA kawaida,wewe sio wa kwanza,tumeishadanganya wengi,get life and move on,wahenga waliyaona mapema,debe tupu haliachi kutika,sasa unaenda kubwabwaja kwenye radio ili uonewe huruma?unashindana na Mond?,unataka uwe mke wa pili?Wasalaam wana jamvi!
Jumatatu kuanzia saa saba mchana Ndug Hamisa Mabeto atafunguka kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL!Hii.imekuja baada ya mzazi mwenzie Diamond Platinumz kufunguka wazi na kueleza mengi kuhusu wao na kumkana hadharani japo alimkubali mtoto...
Moja ya mambo yaliyo mkera Hamisa ni kitendo cha Diamond kusema hawakuwa na ahadi yeyote ile wakati ukweli ni kwamba Diamond Platinumz alimuahidi kumuoa kabisa na ndio maana alikubali kutembea nae na anasema Diamond alisema anampenda yeye kuliko Zari!
Pamoja na hilo Hamisa anakuja kukanusha kuhusu mambo mengi aliyo yasema Diamond hasa ya kusema alikuwa anampa kila siku elfu 70+ na kumkubali mtoto toka mwanzo...jambo ambalo Hamisa anasema ni urongo...
Sasa anasema jumatatu atasema mengi na atasema kila kitu na kuhusu aliyekuwa ana record video zao na aliyekuwa ana husika kuzivujisha....
Wana jamvi naomba niishie hapa na tusubiri jumatatu saa 7 clouds Fm.
NB: Huu unaweza kuwa mwaka mbaya kwa Diamond maana Hamisa anakuja kumwaga mboga na kutoboa masufuria kabisa...
Wale ambao hampendi habari za Diamond na Zari nawashauri.msitumie Smart phone mpaka mwakani maana hii iliyobaki ni ya habari zao tuuu...
Wasalaam...
Ushauri wa nini?Hujaelewa siyo masuala hayo ni kupata ushauri
Ndo fantasy zake sasa kuchukua usedIv Diamond hawez pata demi mkali wa kisomali au shombeshombe kweli!
Iv inakuaje achukue mademu waliotumika!
Infant food ambazo si natural kwa nearly 6 months old. Mdosi anasema infant ha-lactate na natural food ni shida kwa beki tatu kutayarisha. Unashauri vipi?Ushauri wa nini?
Wasalaam wana jamvi!
Jumatatu kuanzia saa saba mchana Ndug Hamisa Mabeto atafunguka kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL!Hii.imekuja baada ya mzazi mwenzie Diamond Platinumz kufunguka wazi na kueleza mengi kuhusu wao na kumkana hadharani japo alimkubali mtoto...
Moja ya mambo yaliyo mkera Hamisa ni kitendo cha Diamond kusema hawakuwa na ahadi yeyote ile wakati ukweli ni kwamba Diamond Platinumz alimuahidi kumuoa kabisa na ndio maana alikubali kutembea nae na anasema Diamond alisema anampenda yeye kuliko Zari!
Pamoja na hilo Hamisa anakuja kukanusha kuhusu mambo mengi aliyo yasema Diamond hasa ya kusema alikuwa anampa kila siku elfu 70+ na kumkubali mtoto toka mwanzo...jambo ambalo Hamisa anasema ni urongo...
Sasa anasema jumatatu atasema mengi na atasema kila kitu na kuhusu aliyekuwa ana record video zao na aliyekuwa ana husika kuzivujisha....
Wana jamvi naomba niishie hapa na tusubiri jumatatu saa 7 clouds Fm.
NB: Huu unaweza kuwa mwaka mbaya kwa Diamond maana Hamisa anakuja kumwaga mboga na kutoboa masufuria kabisa...
Wale ambao hampendi habari za Diamond na Zari nawashauri.msitumie Smart phone mpaka mwakani maana hii iliyobaki ni ya habari zao tuuu...
Wasalaam...
YaaniMh mjini kuna mambo hata si hami.
Miezi sita mtoto anakuwa whined inamaana anaweza kula chakula wanachokula wakubwa kikisagwa vizuri pia kuzingatia kiwango cha chumviInfant food ambazo si natural kwa nearly 6 months old. Mdosi anasema infant ha-lactate na natural food ni shida kwa beki tatu kutayarisha. Unashauri vipi?
Oh oo oo!!!na uzuri serva za google huwa hazipotezi kumbukumbu.Huyu mtoto atakuja kusoma jinsi wazazi wake walivyoanika nguo zao chafu kwenye kadamnasi
Thanks nadhani hiyo ndiyo solution kuhakikisha kinatolewa katika portion ya wakubwa excluding chumvi. Nitamjuza mdosi. asante sanaMiezi sita mtoto anakuwa whined inamaana anaweza kula chakula wanachokula wakubwa kikisagwa vizuri pia kuzingatia kiwango cha chumvi