Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mwacheni apigwe sijui atamletea wakili kibatala round hii!
 
Alipata akili ya kutanua wigo wa biashara yake[emoji28] sema kwa mshindo wa Rick Rozey lazma aachwe vizuri tena ahakikishe kambebea na mimba kabisa ili avune zile child support za million 50 kila mwezi!
Nacheka km mweuuuu
 
Acha kudanganya watu, unaijuwa system ya Marekani wewe?

Mtu ambaye source zake za income ziko wazi unaweza kukwepa vipi child support?

Uliza vizuri labda USA River hiyo, na siyo United States.
 
Hahahahaha sasa nashangaa mnaotushangaa humu jf kuwa kwanini tunasoma habari hizi wakati ziko all-over local medias.
Hapo sasa watuache bwana wee!halafu maisha haya haya ..wao wajenge sisi tutahamia
 
Mimi nampa heko huyu binti. Siyo kila siku kulia na akina Harmonize au Diamond. Anaenda kutafuta huko na analeta kuwekeza hapa nchini. Tumuunge mkono na kumpa mbinu ili asiwe kama Wema
[emoji28][emoji1][emoji1][emoji2][emoji1][emoji1][emoji28][emoji38][emoji38]
 
Hiv warumi alifariki Lin??na je alikua ni wa kiume au wa kike?
 
Mwanaume ukiwa nacho bana...huyo Jamaa angekuwa Kuli pale bandarini Hamisa angekuwa tu anamsoma mitandaoni kama mimi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mchawi pesa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…