Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Mkuu tutafsirie alichomaanisha🤣
 
Umekosea,wanawake wa kibongo ndio sawa na wanawake wengine duniani, kama unaona Mond anaweza kukataliwa na wanawake wa nchi za nje basi pia Mond anaweza kukataliwa na wanawake wa kibongo...wanawake ni wale wale
Demu wa kumkataa ni aliyejitosheleza sana😅 yani ambaye hana njaa hata kidogo! Ambaye kwake mapenzi sio pesa haongozwi na tumbo au tamaa ya vitu.

Mademu wengi wa kibongo mna tamaa ya mambo makubwa hata wale maarufu hawapindui mbona hio inaelewekaga, na ikija kwa mahusiano wengi hupendelea wanaume powerful sababu huwa mko kwenye competition with other girls. Upate bwana wa kuringishia mashosti wako akulaze hotelini akupeleke dubai akununulie macho matatu😂

Kuna ile kitu mnaita “mtu wa maana” au mwanaume wa maana. Tafsiri ni mwanaume ambaye ukitaka chochote anakupa bila kusita esp. wenye kazi nzuri au wafanyabiashara wakubwa. Ni ngumu sana mwanamke kumkatalia mtu wa hivi hasa pia akiwa ni maarufu ndio full kujigonga.

Humu ni rahisi kukataa na kujifanya eti oh me flani hawezi kunila. Ila mtu huyo huyo ndio kinara wa kusema oh mi siwezi date na mwanaume asiye na hela wa kazi gani? Af ndio umkatae mtu kama Mondi si ndoto hizo.
 
So analisaidia Taifa kupitia mbususu yake sio[emoji1787][emoji2]
Huyu jamaa akimdakisha laki moja, lazima atanunua chumvi kwa mangi; mangi amepata ajira. Jioni mangi atatafuta mbege ili apoze koo. Ajira kwa muuza mbege; na muuza mbege anainunua hiyo mbege Uru; hivyo usafiri wa hiyo mbege ni ajira pia. Mwisho hapo kwetu Njari tunaolima ndizi tunapeleka watoto wetu shule. Huoni kuwa hiyo pesa imesaidia taifa?
 
Yaani umegonga nyundo penyewe.

Humu wanajionaga matawi Ila spite mwana yuko loaded mbele yake hachomoi analika kilaiiini[emoji1787]
 
Yaani umegonga nyundo penyewe.

Humu wanajionaga matawi Ila spite mwana yuko loaded mbele yake hachomoi analika kilaiiini[emoji1787]
Demu anayejifanya hawezi liwa na mondi ndio yule yule ambaye always anasemaga mwanaume asiye na kitu hata nyege hazipandi yani siwezi kudate naye kwakweli!

Imagine mtu kama espy ama Evelyn Salt anashupaza shingo kwamba hawezi kuliwa na CEO wa Wasafi Media si itakuwa vichekesho hivyo😅
 
Sipati picha kiingereza cha Rick Ross's na hamisa huko ndani .....


Rick ross ,: hey niggas I want to go with that motherfu**ck bitch room right now ,I want to fu***ck this night [emoji28][emoji28]

Board guard wake: come on rozzziii ,use condoms boss .!

Rick ross 😛ussy so wet u know ,whole night bending into may dick
 
Mh mbunge mlokole [emoji2960]
 
Kwa kweli hata mimi Diamond hanivutii. Sijui wanawake wenzangu wameonaga nini kwake ila mimi hapana
 
Unanisingizia uongo mkubwa sana, mi lini nimesema siwezi kuliwa na CEO?😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…