Alishafanyaga mbona enzi hizoo!aliharibikaga sana na mikorogo ya maimatha...alifanya China alitumia almost 13 m alisemaAkafanye sajari ya ngozi kwanza...imenyauka mno. Labda ahangaike kutafuta pensionists ambao hata meno hawana kama yule kili janga shogake mange aka mama sunshine sijui
Alishafanyaga mbona enzi hizoo!aliharibikaga sana na mikorogo ya maimatha...alifanya China alitumia almost 13 m alisemaAkafanye sajari ya ngozi kwanza...imenyauka mno. Labda ahangaike kutafuta pensionists ambao hata meno hawana kama yule kili janga shogake mange aka mama sunshine sijui
uchawi haufanyi kazi kwenye bangi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbavu sina!Mobeto ampige Libwata Ross ili awekeze bongo[emoji16]
oohoooooo!!! amemkubalia huyo mnyama Ricky roseee mmarekani??????"!!!!!Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao.
Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.
duh!! skuiz wanaume wa dar wanaitwa maanti loh!!! idadi ya wanawake inazidi kuongezeka kwa kasi.[emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]pole ndo wanaume wa dar hao!aka maanti
aliukata kwasababu gani? au wahuni walishamwaribu sana akashauriwa afanye hivo nini?Kukata utumbo kumemuahiribia yeye angefanya tu mazoezi baaasi..na anavojua kinge...loohh!angekua mbaali sana!
je kama jamaa lina ngoma?Huyu fala hamisa kama ameenda huko siku ambazo sio za kushika mimba bas hii nafasi ataijutia sana.
Bora kufa kwa maji ya victoria kuliko ndoo moja ya maji
Kwnye hili mbona lipo wazi mkuu.View attachment 2025435
Karibu kila nyimbo rick ross huwa anajisifia kuwa na bitches (malaya) wengi ambao huwalipa kiasi ili kupata huduma, na huu ni utamaduni wa wasanii wengi sana wa Marekani. msanii anaweza kumlipia bi#*h wake tiketi ya ndege, nguo, make up, kucha, n.k na kumhonga hata milioni 10 ya ziada ili tu ale nae bata usiku mzima, kukipambazuka stori imeisha yani, ila akimuhitaji tena wala haoni shida kulipia, kumbuka hawa wasanii wameajiri hata watu wanaowanyongea miskoto ya bangi, kwa hio kwao hizi pesa za bata hawajivungi.
Haya ni mashairi yake kwenye kazi zake kadhaa, pia yametafsiriwa kwa kiswahili
Rick Ross & Birdman - i got a bitch"
Bitch, ain't it nothing but some motherfuckin' money over her
You understand me?
So you already know what time it is
You feel me?
You know what a nigga need baby
I ain't gon' play with ya
Don't waste my time, won't waste yours
Ya feel me? Cause I have enough hoes
Get in line
TAFSIRI.......
-malaya, hakuna cha ziada anachotaka zaidi ya pesa
-umenielewa?
-baby, nadhani unajua tayari ni muda wa shughuli flani
-umenipata?
-unajua tayari muhuni nachotaka.
-sina muda wa kucheza na wewe
-usipoteze muda wangu, nami sitapoteza muda wako
-umenipata? nina malaya kibao usidhani uko peke yako
-haya anza kuwajibika.
RICK ROSS - SAME HOES - hapa aliweka wazi kwamba malaya pekee anaoweza kulala nao ni wale wanaolala na wasanii wakubwa tu.
Me and Pushat T, we f*#k the same hoes
Me and TIP, we f*#k the same hoes
Me and Chris Brown, we f*#k the same hoes
The same hoes
The same hoes
Me and Justin Bieber f*#k the same hoes
Me and Snoop Dogg, we f*#k the same hoes
Me and Yo Gotti f*#k the same hoes
The same hoes
The same hoes
TAFSIRI.......
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Pusha T na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu T.I na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Chris Brown na mimi nalala nao
-ni wale wale
-ni wale wale
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Justin Bieber na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Snoop dog na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Yo Gotti na mimi nalala nao
-ni wale wale
-ni wale wale
French Montana ft rick ross - Pop That
I'm the life of the party, let's get these hoes on the Molly
You know I came to stunt, so drop that pussy, bitch
I got what you want, drop that pussy, bitch (Woo)
Film it, film it, this bitch want me to film it
Ballin', ballin' like I play for New England
Spend it, spend it, spend a stack every minute
That's 50... one hundred, I see no fuckin' limits
Shout out to Uncle Luke (Huh)
Shout out my bitches too (Huh)
We the 2 Live Crew
Two for me, two for you (Woo)
Feed them bitches carrots (Huh)
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala em like a rabbit
Sorry that's a habit, smoke a spliff and then I vanish
TAFSIRI.......
+Ninaishi maisha ya kula bata, nawalewesha malaya zangu kwa madawa
-unajua nimekuja kuburudika, nipe uchi wako
-ninacho unachohitaji (pesa), nIpe uchi wako
-malaya wanapenda kujirekodi video wakiwa na mimi
-nakula bata sana tu
kwangu pesa sio shida
-shilingi laki 1, laki 2, natketeza ndani ya dakika
-nawapa hai malaya wangu wote
-nikiwa na washkaji zangu, tunawapiga mtungo
-tunawalisha karoti kama sungura (fumbo la sehemu za siri)
-mnisamehe lakini ndio tabia yangu
-nikimaliza shughuli, navuta kipisi cha bangi naishia zangu
Nadhani hamisa kaweka mategemeo makubwa sana juu ya huyu muhuni alietukuka kutoka jiji la Miami, mbaya zaidi kaweka hadharani saundi alizopigwa na mhuni kwamba atakuja kuwekeza nchini na ahadi nyingine kibao,
yaani ni sawa na kumnunulia chipsi mayai na pepsi binti, ukampa elf 5 na ukaanza kumpa ahadi kwamba utawekeza kwenye duka la familia yao, utamjengea nyumba, n.k. yote hii ili kukamilisha jambo.
nilikuambia hapo hakuna jipya zaidi ya biashara. Hivi tumefika mahala mtu kuliwa na kuwa dumped tunaona ni ufahali kwakuwa ni msanii mkubwa. Hizi siyo tamaduni zetu jaman mtoa mada anajaribu kumkumbusha tu ila najua hata mobetto analijua hili(one night stand)Kweli weekend hii Hamisa amewapiga wengi na kitu kizito vichwani kwao. Huyu aliyeleta hii thread nae anaitwa mwanaume eti.
Hivi Hamisa keshafikia level za Uwoya??Umetoa angalizo mujarabu kabisa,Binti sasa hivi anasecure bag atengeneze future za wanae.Halafu kichekesho unaweza kuta waliokuwa hawatoi pesa za matunzo kwa Watoto wakaanza kuzitoa kwa kujipendekeza,maana Hamisa sasa hivi kaingia viwanja vya [emoji383].Hizi wekundu wa msimbazi kawaachia kina Uwoya ndiyo wahangaike nazo.
Wajomba ,mifuko imetobokaa, kuzunguka na bahasha kila kukichaaaaa.Wajomba wamemaindi balaa[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!
Aaaa odo bei elekezi 30,000 bila na ya kutolea.Acheni auze jamani.
Au kwa kuwa ANAUZA KIMATAIFA NA WENGINE UUZAJI NI WA TUMA NA YA KUTOLEA?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamanii nimecheka kuna mtu kanitumie memes eti Zari anawaambia kuwa kaka wa watoto wake ni mtoto wa Rick Ross wa kambo.Hapa Hamisa kanyamizisha wote,bora hata Majizzo hakuwaga na hekaheka za kumdharirisha mitandaoni.Tabu iko kwa Watandale,na wasipoangalia kweli watoto wataenda kwa Biden [emoji3][emoji3]
Lazima waumie hawana pesa sababu kula alipokula Rick Rose si mchezo.Wanasema wanaume ndo wameumia Hamisa kwenda Dubai na tajiri kuliko sisi wanawake. Sasa unajiuliza hiyo hasira wako nayo ni ipi? Wanatamani wangekua na wao wanawake waliwe na mtu kama Rosey au ndo joto hasira wanaona hawamuwezi tena. Nawaza bado
Aaaa wewe hujui utamu wa mifupa.Kwa kweli hata mimi Diamond hanivutii. Sijui wanawake wenzangu wameonaga nini kwake ila mimi hapana
CC Asprin Kwa taarifa. hahahahahIle ni keki isiyooza mradi umwanglie mlaji ni nani.
pesa pesa pesa, hapendwi mtu, inapendwa pesa.Kwa kweli hata mimi Diamond hanivutii. Sijui wanawake wenzangu wameonaga nini kwake ila mimi hapana
kuna boss mkubwa wa serikali, chakushangaza mkewe wa 40yrs analiwa na kijana wa 26 yrs asiye na maisha ya kueleweka bado.Mimi ni mdada usijesema najitetea hapa [emoji1] ....Ujue wanawake sisi kwa sisi pia tunatofautiana, jamaa atakubaliwa na wanawake wanaopenda wanaume wa aina yake maana kama ni pesa mbona wanaume kibao mtaani wako njema tena sana hivyo inawezekana kunasa kwingine kwake isiwezekane sababu tuna machaguo yanayotafautiana.
Ahsante....Sasa kuna watu humu wanadhani ukiwa na pesa na umaarufu kama wa jamaa yao basi umemaliza kila kitu.kuna boss mkubwa wa serikali, chakushangaza mkewe wa 40yrs analiwa na kijana wa 26 yrs asiye na maisha ya kueleweka bado.
Hapo ndo utagundua madhara ya kumpendea mtu pesa. Mwanamke huyo alimpendea mumewe pesa.