Mimi nakubaliana nawewe.Kwa mwanamke fursa ya Kwanza Ni maumbile yake huu ukweli watu wanaukwepa kwepa tu na kamwe usishindane na mwenye uke hasa jinsia pinzani utaumia
Hagahahahhaha yanu watu banaAaaa odo bei elekezi 30,000 bila na ya kutolea.
wanawake wengi wa Tz wanatoka familia duni, alafu wanaongozwa kwa tamaa za vitu wasivyo na uwezo navyo, hata maisha yao sio uhalisia wanajiedit na kuekti life tu, ila kiuhalisia wanapigika na life kwelikweli, wa hivi lazma wapaparukie na kuangalia pesa tu,Kwani huyo Diamond ana kipi cha ziada ambacho wewe huna mapenzi yangekuwa pesa billigete asingeachwa nikwambie kuna Wanawake wanaopenda pesa kutoka kwa Wanaume, kuna Wanawake wanapenda kujaliwa kutoka kwa Mwanamke mfano kama Wewe unadhani uliyekuwa nae hatongozi na waliokuwa nacho kukuzidi Wewe why yuko nawe asikuache.
Samahani huyo Uwoya ana level zipi? Kutombesha kwa watoto kama dogo janja?Hivi Hamisa keshafikia level za Uwoya??
Pesa bado ni material muhimu kwenye maisha, ukiwa huna kitu hata kunguru wanakuzomea.wanawake wengi wa Tz wanatoka familia duni, alafu wanaongozwa kwa tamaa za vitu wasivyo na uwezo navyo, hata maisha yao sio uhalisia wanajiedit na kuekti life tu, ila kiuhalisia wanapigika na life kwelikweli, wa hivi lazma wapaparukie na kuangalia pesa tu,
na matokeo yake akiolewa na mwenye pesa, kwa kuwa hakumpenda ila aliangalia na kupaparukia pesa, ndo wanakuwa dizaini ya wale wanawake wa mabosi wanaotembea na vijana wa kutunza kuku, ng'ombe na nguruwe majumbani.
kwa dunia ya sasa, wanawake wasioangalia pesa au kuchagua mwenye pesa ni wale unaokuta wametoka familia za kishua na yeye mwenyewe mwanamke unakuta mfukoni yupo njema, yani kwake pesa sio tatizo labda matatizo mengine.
sasa wewe na wanawake wengine ndo mjitasmini mtaangukia au mpo kwenye kundi gani kati ya hayo hapo juu, maana naona blah blah nyingi humu.
KumbeeAlishafanyaga mbona enzi hizoo!aliharibikaga sana na mikorogo ya maimatha...alifanya China alitumia almost 13 m alisema
😂😂😂😂😂😂😂 Pambafff sanaRick rose hii picha lazima tumtumie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2024380
Ndo maana wanaume baadhi wanakuwa mashoga sababu wanaitamani nguvu ya ushawishi aliyo nayo mwanamke kwa mwanaumeMimi nakubaliana nawewe.
ndio maana hata wakat tunasoma ,unakuta demu anakuambia "Somaa "
Nakweli usiposoma, mnamaliza kidato cha NNE, baada ya miaka miwili, mwenzako anasukuma NDINGA.
ni kwamba utapata unachokitaka na mwanamke yeyote unayemtaka utampata,Ahsante....Sasa kuna watu humu wanadhani ukiwa na pesa na umaarufu kama wa jamaa yao basi umemaliza kila kitu.
Dah ila kweli aiseeKwa mwanamke fursa ya Kwanza Ni maumbile yake huu ukweli watu wanaukwepa kwepa tu na kamwe usishindane na mwenye uke hasa jinsia pinzani utaumia
ukiwa na pesa chochote unachotaka unapata, hata ukitaka kula mwanamke yeyote umtakae dunia hii unakula yawezekana akakupa na kijambio kama bonus.Pesa bado ni material muhimu kwenye maisha, ukiwa huna kitu hata kunguru wanakuzomea.
Siyo kweli, pesa ni muhimu lakini haiwezi kukuwezesha kumla mwanamke yeyote yule umtakaye, si kweli hata kidogo.ukiwa na pesa chochote unachotaka unapata, hata ukitaka kula mwanamke yeyote umtakae dunia hii unakula yawezekana akakupa na kijambio kama bonus.
ila kwenye swala la mapenzi bado kuna uwezekano wa kuzungukwa. Mabos wengi wake zao wanaliwa nje.
Halafu usishangae Hamisa aliitwa Dubai na mchizi kwa ajili ya video shooting tu na Hamisa ametumia fursa hiyo kuwakimbiza watesi wake.Kasemwa Sana jamani, kama hili linampa furaha Basi ikawe heri kwake, aibu kwa waliomnyanyasa, ni kawaida hawawezi kufurahia hili, nimewahi kupitia hali hii ya watu kukunyanyasa sababu unapitia ugumu fulani, mambo yalipobadilika😂😂😂😂hebu nicheke mie, akomae na lwake binadamu tumejaa unafiki sana
Lakini dalili za wao kutakana zilikuwepo kitambo eti, ingeleta maana kama RR angwkuwa mbongo tungesema Ni kiki ya video,,nachoamini yote yanawezekana nakajua kuwaumiza wabaya wake vilivyo hawaaamini wanachokiona yaniHalafu usishangae Hamisa aliitwa Dubai na mchizi kwa ajili ya video shooting tu na Hamisa ametumia fursa hiyo kuwakimbiza watesi wake.
Maana dada zangu nawajuwa mwenyewe tungerushiwa mpaka picha wapo kitandani na video clip juu.
Jamaa Rick Ross anatowa single yake December na bado anamalizia shooting, you never know Hamisa alikula dill la video tu then mchizi kasepa zake unyamwezini.
Vacation Dubai haiwagi hivi kwa watu wenye pesa, unasepa kabla ya weekend.
Lakini huyu mchizi currently pics zake mbona ana mwili mzuri tu?Wanawake wana roho ngumu sana🚶🚶🚶
View attachment 2026425