Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Awe na akili ya maana sasa maana vibinti vya kibongo cha maana anachoweza kufanya ni kuomba afunguliwe maduka ya nguo 😅 nchi nzima 😅 kisha chenchi ajengewe ghorofa na BMW X7
Hahahaha haa sema wadangaji wakimataifa lazima wamlipizie Mobeto haiwezekani si unajua mademu zao kushindana😁
 
Kwa hizi hasira za wanaume juu ya Hamisa, no wonder na wenyewe wanaamua kutoa ndogo, yaani nilidhani wanawake ndio wawe na wivu kwa mwanamke mwenzao ajabu ni wanaume ndio wanakua na wivu kwa mwanamke,
Lol

Maajabu hayawezi kuisha Tanzania yangu.
Wanaotoa ndogo Mashoga hao sio wanaume😅
 
Hii ndio ile wanaita kudanga kwa weledi [emoji28]..

Huyu mwamba kweli lazma aje kuwekeza zile billion 8 zake bongo kashafinyiwa kwa ndani na mtoto wa Tandale uswahilini!

Inaonekana kapata review kwa rotimi kuwa hizi ngozi za kibongo ni noma [emoji3]
Hamissa ni mjasiriamali wa kimataifa!!..moja ya wasichana wachache wa kibongo ambao uchi umewapa mafanikio

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wewe sio mzima nadhani kuna Mwanamke kakutenda comments zako hazieleweki una tetea kitu gani sio kila Mwanamke anayepingana nawe kwenye Comment uka mchukulia poa mimi hunipati kivyovyote vile acha Ujinga kujifanya una akili kubwa kumpata Mangelo wako humu Jf usione kila mtu ni mjinga kama huyo aliyetoka nawe asiyejitambua.
Umempanikisha jamaa yako mpaka kapewa punishment!! ha ha, nimesoma mtiririko wa comment zenu mwanzo mwisho, nilichogundua siri yangu.
 
Kwa kweli hawawezi kuchomoa kwa mond Kama atawahitaji, kwa hapa bongo nakubali usemi wako hakuna mwenye uwezo wa kumkataa mondi kuanzia wewe, mkeo na mama yako hivi mtaanzaje Kwanza kumkataa mondi akiwahitaji?
Huyu ndugu hamumtakii mema mnampiga kote kote mmefanya hadi kapigwa kufuli.. sio poa. Binafsi dhana yake haiko sawa hivyo naelekeza ipingwe!!
 
Kwa hizi hasira za wanaume juu ya Hamisa, no wonder na wenyewe wanaamua kutoa ndogo, yaani nilidhani wanawake ndio wawe na wivu kwa mwanamke mwenzao ajabu ni wanaume ndio wanakua na wivu kwa mwanamke,
Lol

Maajabu hayawezi kuisha Tanzania yangu.
Wanatamani awakopee hela ya Xmas kutoka kwa Richie Forever.
 
Jamaa kapigwa tukio na Mwanamke wa humu hasira ana tumalizia tusio husika yaani kila Comments ukipingana nae yeye ni matusi kweli wanawake wahumu hivi kana kwamba katoka na Wanawake wote wa JF
Anadai Anatujua wote na anajua tumechoka na maisha balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeandika ukweli tatizo nadhani ana stress za Wanawake sana sijakataa anachoamini ila sidhani kama ni wote shida hataki kuamini maoni ya mtu mwengine zaidi ya matusi
Ni kweli sio wote wakati mwingine sio stress ni dhana yake ya kuona labda huyo msanii ndo sukari yenu warembo na kwamba hamuwezi kumkataa. Amekosa kuona mambo kwa mapana
 
Back
Top Bottom