Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hilo liko wazi Mkuu ,achana namambo ya "Ana shingo..namm ninayo....Ana pua...namm ninayo...Ana miguu ,namm ninayo...ana matiti...namm ninayo..."

UTOFAUTI UTAENDELEA KUWEPO DAIMA....

And she really know that 100‰ !!!.
📌📌📌📌📌
 
Kuna watu wameumbwa na kinyaa!

Hawali chochote kilichopo wanachokutana nacho!

Wanaishi na kula kwa principles.

Hawalagi vya wote!
Hahahahah kweli maana Olivia alikuwa anatafunwa na 50 cent wakati yeye anafanya mchakato wa kujitwalia mzigo
 
Kwa hizi hasira za wanaume juu ya Hamisa, no wonder na wenyewe wanaamua kutoa ndogo, yaani nilidhani wanawake ndio wawe na wivu kwa mwanamke mwenzao ajabu ni wanaume ndio wanakua na wivu kwa mwanamke,
Lol

Maajabu hayawezi kuisha Tanzania yangu.
Wanasema wanaume ndo wameumia Hamisa kwenda Dubai na tajiri kuliko sisi wanawake. Sasa unajiuliza hiyo hasira wako nayo ni ipi? Wanatamani wangekua na wao wanawake waliwe na mtu kama Rosey au ndo joto hasira wanaona hawamuwezi tena. Nawaza bado
 
Huyu jamaa akimdakisha laki moja, lazima atanunua chumvi kwa mangi; mangi amepata ajira. Jioni mangi atatafuta mbege ili apoze koo. Ajira kwa muuza mbege; na muuza mbege anainunua hiyo mbege Uru; hivyo usafiri wa hiyo mbege ni ajira pia. Mwisho hapo kwetu Njari tunaolima ndizi tunapeleka watoto wetu shule. Huoni kuwa hiyo pesa imesaidia taifa?
Wakubali tu kuwa weekend hii, kuna watu Hamisa amewapiga na kitu kizito kichwani.
 
Wachumi wetu hapa bongo wanaita hii kitu multiplier effect😀😀😀
 
Nakumbuka kuna muvi moja ya kibongo, Marehemu mzee Majuto kuna kipande alicheza na Menina, sasa Mzee Majuto akawa anaimba hivi "Ukiona changu kinaliwa usilete zongo, kumbuka hii ni haluwa haina makombo"
 
Wakubali tu kuwa weekend hii, kuna watu Hamisa amewapiga na kitu kizito kichwani.
Kumbe Watanzania tuna wivu sana!!!! Hivi huyo binti kuwa na boyfriend ambaye siye mtanzania ni kosa? Kwani watu wanaona ni malaya. Hivi huyo binti si alizaa na Majizzo na pia akazaa na Diamond na wote wakampiga chini. Hivi watu walitaka akae bila boyfriend? Hivi ni mwanamke yupi anakuwa na uhusiano na mwanaume usio na manufaa ya wakati huo au baadaye na mwanaume yeyote? Hata ndoa mwanamke anakuwa amejiridhisha kuwa mbele ya safari mambo yatanyoka. Mama Clinton alikiri kuwa alikubali kuolewa na Clinton maana aliona anaweza kumfanya awe Rais wa marekani siku za usoni.

Sioni tatizo la huyu binti kuwa na urafiki na huyo kibonge, mambo yao ya chumbani tuyaache maana hata sie tulitokana na mambo ya chumbani ya baba zetu na mama zetu. Kama angalikuwa anajipanga mitaa ya Washingoton DC anatafuta mabwana wa kumpa pesa za uchangu, hiyo ndiyo mbaya.
 
Wanasema wanaume ndo wameumia Hamisa kwenda Dubai na tajiri kuliko sisi wanawake. Sasa unajiuliza hiyo hasira wako nayo ni ipi? Wanatamani wangekua na wao wanawake waliwe na mtu kama Rosey au ndo joto hasira wanaona hawamuwezi tena. Nawaza bado
Wanaumia kwa kua wanajua hawampati tena..?
Mkwe umeona posti ya Vunja bei?!![emoji2][emoji2][emoji2]
Loohh!
 
Back
Top Bottom