Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

diamond alifeli wapi kuacha kifaa kile kikali kila idara? Mtoto mzuri sana yule, wacha azizi ki akajitafunie vinono
100% Fact.

Hamisa mzuri sio poa.

Only a fool cannot see this
 
Unataka kusemaje mkuu? Kwamba mabinti waishie form 4 waingie mtaani kudanga kwa wanaume wenye hela? Ungetolea mfano kwa wanawake angalao level ya spika tulia kidogo ungeeleweka, kuliko kumtumia gold digger kama rejea.
 
Inaonekana umeumia sana Hamisa kutolewa mahari ya milioni thelathini maana sio kwa hasira hizo🤣🤣🤣
Wewe mwana saikolojia mzuri sana jamaa atakua kaumia sana..
 
Akili ya Hamisa ni kubwa kuliko kundi kubwa sana la vijana wanaochangia hapa jf na wa mitaani na hata wanasiasa wengi tu! Ili kumdhalilisha watasema ni k na pia kujifariji na kujustify failure zao! Kwani kuna wanawake wangapi na wana k zao kwa nini hawapati tija nazo! Likud kasema fate is everything na inakuja kwa anayejituma kufanya yake akakutana nayo!
 
Kuna mtu umezoea kusikia kila siku akitoa nondo TU,siku akiharibu unatamani kumtetea na kulazimisha akili yako kuwa yupo sawa ila wapi,mamaaee fate ndo ishaamua tayari😐😐😐
 
Yan wewe mzee unatafuta Kila namna kutetea shule zetu za Kidumu na mfagio babu😅ni kweli kipind chetu wakati tunasoma tulikuwa unaambiwa Twende na mbolea debe moja, kipind hicho unaambiwa Twende na marando, migomba, mbegu za mihogo ofcoz tuli jifunza stadi za maisha Ila sio lazima watoto wetu wapitie huko regardless the budget 😅
 
Mwalimu samweli maneno ikiwa upo hapa jamiiforums au Kuna anayemjua amfikishie ujumbe kuwa isingekuwa wewe kunidharau na kuniona siwezi kukulipa hela uliyotaka hakika Leo hamisa alikuwa ni mke wangu wa ndoa .
Ila kwakuwa nilikuja na nilikuwa nakuja kwa kuandamana na watoto wa keko ukadhani Mimi ni muhuni kumbe sivyo .

Nenda mobeto Ila jua F bado anakukumbuka kwa mengi hasa vile ulivyoanza kutaka kunikubali Ila kimwalimu kisicho na mbele Wala nyuma kikaziua jitahada zangu .

Niko mbeya siku yanga wakiwa na mechi mbeya basi msindikize shemeji na Mimi nitakuja uwanjani walau nikae sehemu ya wazi unione nilivyo kwasasa na mapenzi yanayoendelea kuniadhibu
 
Hata ROZAY ilibaki kidogo tu aoe.

mdada anajua kuzichanga karata zake.

View: https://youtube.com/shorts/pC-fjd7pKBw?si=Vcu6kTrjXdT690gD
 
Kugawa mbunye ndiyo mafanikio?
 
Jackline A. K.A kyline aliyeolewa na Meng tajiri wa kitanzania na Kyline sio form four unamzungumziaje?
 
Mambo gani makubwa anayofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…