Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo kwa kufuatilia mambo ya watu hamjambo🤣
Wanataka kiki tatizo mkuu.Kitu kinanishangaza, hawa watu maaruf hawana wivu, kama ningekua maaruf, ningetafuta mtoto mbichi, unknown to people tukatulia.
Hawa jamaa wananishangaza sana.
Raia wa nchi gani huyo ?Kuna demu amezaa Ki amemtelekeza yule sasa ndio angeoaaa
Hiyo itakuwa ni ndoa au maigizoMuigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025.
Hili linakuja wiki chache baada ya Mobetto kumtambulisha Aziz Ki, MVP wa msimu uliopita Ligi Kuu ya NBC.
Soma, Pia: Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga
View attachment 3230711
View attachment 3230710
Hapana performance ndo itaongezeka akiwa na mkeHuyu Yanga wamuuze tu maana huyu mdangaji atampiga na kitu kizito na kuharibu performance yake uwanjani.
Bongo movie....nasikiaRaia wa nchi gani huyo ?
Atapigwa tukio tu..kapendewa mkwanja anaovuta Yanga! Aziz K unakwama wapi??hata research kidogo!!!godamnKitu kinanishangaza, hawa watu maaruf hawana wivu, kama ningekua maaruf, ningetafuta mtoto mbichi, unknown to people tukatulia.
Hawa jamaa wananishangaza sana.