Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Hiyo unayoiita sura iliyokondeana ndio sura nzuri zaidi duniani wanaita Oval Face Shape, (you can google it)Hamisa ana umbo zuri ingawa ni la uturuki, kuhusu sura hamisa hana sura kabisa, sura ya hamisa kama imekondeana Dr. Mariposa