Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

Kitu kinanishangaza, hawa watu maaruf hawana wivu, kama ningekua maaruf, ningetafuta mtoto mbichi, unknown to people tukatulia.

Hawa jamaa wananishangaza sana.
Hawa si maarufu bali vyangudoa wa kawaida wanaojiuza kwa kisingizio cha umaarufu.
 
Astaghfirullah!!
shocked-face-shocked-meme.gif
Nimesikitika sanaa! Kumbe ki yupo serious kumuoa Misa. Ndoa tar 17
 
huyu jamaa anakwenda kupigwa na kitu kizito sana. Amepagawa na Tako, TAko ambalo mjini wababe wote wameshilivuruga
 
Kiufupi engineer hersi ndio ilikuwa anamla mobeto baada ya mke wake kushtuka Ali kamwe akaokoa jahazi kuna kipindi watu walidai mobeto anatoka na kamwe sasa hivi jumba bovu kaangushiwa aziz ki.

Hii movie ndio kwanza inaanza sasa hivi wamehamia kwa zizamaliki ila kuna binadamu wajanja wajanja sana Ali kamwe anatumika vibaya na kwasababu hajaoa basi kwake inakuwa mserereko.
Kwani nani hajui, Missa ni chepoz la muhabdisi. Domolepe ni picha tyuuh

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa JF tafuteni hela jamani, hizi hasira zenu ni wivu kwa kuona vijana wanaenjoy maisha halafu wala hajawasoma kiviiiiiiile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila mwanaume anatamani angekua na demu kama Hamisa ila sasa maokotoooooo hamna, hao akina Mwajuma n'chokonoe ndio levo zenu pambaneni nao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaa, Woiiiiih

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Hizi timu mbili za kariakoo wachezaji wanapata hela ndefu aisee
 
Kama wapo siriaz basi huyu mchezaji wetu asisahau kutumia Hakimi theory kulinda mali zake
 
Kwani nani hajui, Missa ni chepoz la muhabdisi. Domolepe ni picha tyuuh

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Ndo nimesoma huko insta
Nasikia mke wa muhandisi ni mafia balaa kawafuata adi dubai akawafumanie watu wakamtosha muhandishi akapanda ndege fasta kuelekea oman baada ya hapo akaona mambo mazito ndo kuleta hayo mapichapicha ya ndoa ili mkewe asije kuua mtu,
Mana nasikia huko dubai alibeba kikosi kazi chake kwa kazi moja tu ya kuua mtu🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom