Mkuu, hebu nisaidie kuelewa hili. Mjerumani alianza kutawala kipande hiki cha nchi wakati huo kikijulikana kama Deutsch Ost Africa mwaka 1880 waka ondoka 1919, hiyo ni miaka 39. Mwingereza akaingia 1919 na kutoka 1961 hiyo ni miaka 42. 42>39Mkuu angalia historia vizuri, wajerumani walikaa Tanganyika muda mrefu kuliko waingereza.