Mkuu, hebu nisaidie kuelewa hili. Mjerumani alianza kutawala kipande hiki cha nchi wakati huo kikijulikana kama Deutsch Ost Africa mwaka 1880 waka ondoka 1919, hiyo ni miaka 39. Mwingereza akaingia 1919 na kutoka 1961 hiyo ni miaka 42. 42>39Mkuu angalia historia vizuri, wajerumani walikaa Tanganyika muda mrefu kuliko waingereza.
Tunaolewa kilasiku, tabia ni mtu KadhiYaani humu JF wanavyokandia single maza, utadhani ndo walimuumba shetani,
Nashangaa hawamuoni huyu single maza hamisa.
Najua mkuu, lakini jaribu linganisha tuna tabia za wajerumani au waingereza?Mbona Deutschland walitutawala mkuu? Ila sema si miaka mingi kama walivyo tu tawala Waingereza
Hamisa akikupa utakataa?Aziz Ki hajawafahamu wanawake wa Bongo especially huyo aliye nae..
Kwa hyo wanawake wa bongo wasiolewe?Aziz Ki hajawafahamu wanawake wa Bongo especially huyo aliye nae..
Hamna ndoa hapo..Kwa hyo wanawake wa bongo wasiolewe?
Nampenda sana hamisaMuigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025.
Hili linakuja wiki chache baada ya Mobetto kumtambulisha Aziz Ki, MVP wa msimu uliopita Ligi Kuu ya NBC.
Soma, Pia: Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga
Muigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025.
Hili linakuja wiki chache baada ya Mobetto kumtambulisha Aziz Ki, MVP wa msimu uliopita Ligi Kuu ya NBC.
Soma, Pia: Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga
Namshauri tu kwamba Mabeto amshauri Ki awekeze kwenye biashara nyingine maana mpira una time limit hapo baada ya miaka mitano 5 kipato kitadrop na baadhi ya hawa "Gold diggers" kipato kikipungua heka heka zinaanza.Muigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025.
Hili linakuja wiki chache baada ya Mobetto kumtambulisha Aziz Ki, MVP wa msimu uliopita Ligi Kuu ya NBC.
Soma, Pia: Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga
Kwahiyo unataka wote tuwe kama wewe?,hii Dunia Ina watu wa karba tofauti, na utofauti huo ndo unaifanya Dunia iende,we endelea kufaritilia mambo yenye faida kwako ,waache ambao wanafatilia yasiyo faida,as long hujawahi peleka debe la mahindi kwao.Me sifuatilii mambo ambayo hayana faida yoyote kwangu
Wanaumia utadhani Hamisa kawaibia bwana. Mimi nimefurahi sana ikawe kheri kwao.Kikubwa single mama kaolewa na hakuna aliyeumia kati Yao wanaumia wanaume wetu wa Tz