Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

Kitu kinanishangaza, hawa watu maaruf hawana wivu, kama ningekua maaruf, ningetafuta mtoto mbichi, unknown to people tukatulia.

Hawa jamaa wananishangaza sana.
Hawa si maarufu bali vyangudoa wa kawaida wanaojiuza kwa kisingizio cha umaarufu.
 
huyu jamaa anakwenda kupigwa na kitu kizito sana. Amepagawa na Tako, TAko ambalo mjini wababe wote wameshilivuruga
 
Kwani nani hajui, Missa ni chepoz la muhabdisi. Domolepe ni picha tyuuh

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaa, Woiiiiih

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Hizi timu mbili za kariakoo wachezaji wanapata hela ndefu aisee
 
Kama wapo siriaz basi huyu mchezaji wetu asisahau kutumia Hakimi theory kulinda mali zake
 
Kwani nani hajui, Missa ni chepoz la muhabdisi. Domolepe ni picha tyuuh

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Ndo nimesoma huko insta
Nasikia mke wa muhandisi ni mafia balaa kawafuata adi dubai akawafumanie watu wakamtosha muhandishi akapanda ndege fasta kuelekea oman baada ya hapo akaona mambo mazito ndo kuleta hayo mapichapicha ya ndoa ili mkewe asije kuua mtu,
Mana nasikia huko dubai alibeba kikosi kazi chake kwa kazi moja tu ya kuua mtu🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…