Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

Kitu kinanishangaza, hawa watu maaruf hawana wivu, kama ningekua maaruf, ningetafuta mtoto mbichi, unknown to people tukatulia.

Hawa jamaa wananishangaza sana.
Hata mimi huwa siwaelewi,mtu ashazalishwa na wanaume wawili,ashakuwa na wanaume kibao.Hatari sana
 
Mimi siwezi kuoa demu mwenye watoto baba zao hawajulikani ni nani.
 
Namsikitikia Aziz jinsi anvyotumiwa, hivi Hamisa ni wa kuolewa kweli jamani? Kuna mademu wengine ni wa mikosi tu, unachapa kwa kushitukizia na kuwaacha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaa na nusu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…