tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hivi mama yake hamisa anafanya kazi gani au anategemea kiuno cha mwanae ili aishiMadhara wanashindana kwa waganga wanawake bwana tunapendaga kudaganyika aisee, huwezi kumkeep man kwa ushirikina
Sent using Jamii Forums mobile app
Hafanyi kazi yoyote mwanawe ndo anamuweka mjiniHivi mama yake hamisa anafanya kazi gani au anategemea kiuno cha mwanae ili aishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee leo sibanduki insta....mchawi kakamatwa RED HANDED mange hasira kazimimina kwa Tz sweetheart[emoji28] [emoji28] [emoji126] [emoji126] ...nacheka kinyaturu titiiiiiiiiHahaaa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]mambo insta hukoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli Mondi harogeki, ndomana mchongo umekwama, Mrogaji kakamatwa!Hivi unaona diamond ni wa kurogwa? Mama yake kila siku kushinda kwa waganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wema anaonekana ana chuki na hamisa waziwazi kwa haya ya leoHaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee leo sibanduki insta....mchawi kakamatwa RED HANDED mange hasira kazimimina kwa Tz sweetheart[emoji28] [emoji28] [emoji126] [emoji126] ...nacheka kinyaturu titiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu weka screenshot za mange maana napitwa, wema naye kiherehere sijui misa kamkosea nini?
Na atakoma diamond anarogwa kotekote[emoji23][emoji23] wanawake wanameroga,mama anamroga kazi ipoNikweli Mondi harogeki, ndomana mchongo umekwama, Mrogaji kakamatwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee kweli leo kaonesha uchawi wake kwa Misa....ila litakuwa limelewa leo ...kichambo gani kilee
Ah..km ni mate kuna wananzengo hku uraiani wanatema mate vbaya mno kinachowavuruga lile jina tu na mafanikio mbona hawaji kumng'ang'ania swahiba wng urasa hp?Mate ya mwanaume dada sumu!haswa yakiingia kwenye nyeti za mwanamke na ule mdomo anautumia vizuri kwa kubugia nyeti lote
Imebidi nicheke tu! Unasema huna upande wakati mwanzo mwisho wa uzi huu unamtetea Hamisa!!?? Jipe nafasi ya kupima na kutafakari kabla ya kuchukua upande. Kiukweli sauti ile ni ya Hamisa na si mara ya kwanza Hamisa kuwa na skendo za kishirikina.Mi nakuambieni hata daimond amuoe nanii atakua mbaya tu tuombeni uzima,mi nashindwa kuwa upande wowote maana familia ya diamond sio ya kuitetea kabisaa,halaf kama clio imetengenezwa maana watu wakiona kuna mgogoro wanaongeza na kusuka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehehe Wenye elimu wenzio wameajiliwa na huyohuyo mjinga Mondi!!!Elimu hana, utu hana....kiki kwanza utu baadae unafikiri ataongea nini zaidi? Yaan mimi najiuliza kwann hamisa anashindwa kukaa mbali na hii familia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Madem wa kibongo upuuzi mtupu, Hamisa hawezi kuwa na 23 labda kama umegeuza namba (ulimaanisha 32)Familia ya platnumz daah wamenisikitisha saaana ukisikiliza kwa makini ile voice note eti Hamissa anasema anamjua diamond miaka 10 iliyopita wakati hamisa ana miaka 23 kwahyo Hamisa kaanza kugongwa na mondi kipindi ana miaka 13 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndipo walipobugi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Napita[emoji23][emoji23][emoji23]Asee kweli leo kaonesha uchawi wake kwa Misa....ila litakuwa limelewa leo ...kichambo gani kilee
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Mange issue kidogo anamuingiza Wema mbona hajawachamba wakina maimartha....rachel Temu kamuona Wema tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91] [emoji91] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo insta kumedamshi....bora niibiwe mume leo lkn nisiibiwe simu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji126] [emoji126]