Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hahaaa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]mambo insta hukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee leo sibanduki insta....mchawi kakamatwa RED HANDED mange hasira kazimimina kwa Tz sweetheart[emoji28] [emoji28] [emoji126] [emoji126] ...nacheka kinyaturu titiiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange ana hasira na maisha yake kiasi akijiangalia hasira anamalizia kwa Wema,mke mtarajiwa wa bilionea veeeepe teeena!
 
Mi nakuambieni hata daimond amuoe nanii atakua mbaya tu tuombeni uzima,mi nashindwa kuwa upande wowote maana familia ya diamond sio ya kuitetea kabisaa,halaf kama clio imetengenezwa maana watu wakiona kuna mgogoro wanaongeza na kusuka zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Imebidi nicheke tu! Unasema huna upande wakati mwanzo mwisho wa uzi huu unamtetea Hamisa!!?? Jipe nafasi ya kupima na kutafakari kabla ya kuchukua upande. Kiukweli sauti ile ni ya Hamisa na si mara ya kwanza Hamisa kuwa na skendo za kishirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia ya platnumz daah wamenisikitisha saaana ukisikiliza kwa makini ile voice note eti Hamissa anasema anamjua diamond miaka 10 iliyopita wakati hamisa ana miaka 23 kwahyo Hamisa kaanza kugongwa na mondi kipindi ana miaka 13 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndipo walipobugi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Madem wa kibongo upuuzi mtupu, Hamisa hawezi kuwa na 23 labda kama umegeuza namba (ulimaanisha 32)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom