Team yake wakawa wanamuita strong[emoji23][emoji23]Kuna watu wana roho ngumu jamani!! Sijapata on a!msibani unafanya Yale Mungu kamuonyesha Kofi moja matata!
Tena msiba wa mzazi wako!hapana alikosea
Hiyo ni tabia ya vimwanamke vijinga, japo kinajihisi kinamkomesha mwenzie, kinajihisi kinapendwa kuliko.....kumbe ni swala la muda tuIla Hamisa ana roho ngumu unamuibia mwenzako then unaenda kumtunza kabisa Mimi siwezi walah
Washirikina kuliko unavyodhani my dear!!!tena wenyewe ule!alienda kuponea Tangaa Hamisa!!mama diamond alitaka awe chizi yule mama hafai Zari alikua anamng'ang'ania dai kaenda South yule mama karudi tu Ua jeusi juu!!Hamisa anaambiwa Mwanga!Hyo ya Misa kuchanganyikiwa niliskia aisee ndo alipelekwa had mbagala, mama chibu naye mwenzake hajapona operation unamuongezea ukichaa kah. Hii familia ya Dangote nao ni wanga IPO siku nao wataumbuliwa tu kuanzia diamond
[emoji1] [emoji1] [emoji1] yataka moyo sisi wanawake bwana mtu unamuibia na kumringishiaBibi wee!!!acha nijishebeduee..mke mwenza anijuee!!
Ni kweli mtu muelewa unabanjuana na mtu wako unapiga kimya ka hamjui vile yani maana haipendezi wala kwa mtu mstaarabu hawezi kufanya hivo. Uswahili ndo wana hvo vitabiaHiyo ni tabia ya vimwanamke vijinga, japo kinajihisi kinamkomesha mwenzie, kinajihisi kinapendwa kuliko.....kumbe ni swala la muda tu
Hamisa aachane nao asije kufa bure, kwanza wameona kawa balozi basi wamemuanzishia zengwe. Hamisa naye akome.Washirikina kuliko unavyodhani my dear!!!tena wenyewe ule!alienda kuponea Tangaa Hamisa!!mama diamond alitaka awe chizi yule mama hafai Zari alikua anamng'ang'ania dai kaenda South yule mama karudi tu Ua jeusi juu!!Hamisa anaambiwa Mwanga!
Ha ha ha ha mbona mchawi karaba!!!!hahahaha wanasema mchawi karaba
Kumbe je!!yaani hamisa angepoa wale hawezi waweza hata kidogo watu wa kigoma washirikina mnoo!!!Hawawezi hata mbuni!!Hamisa aachane nao asije kufa bure, kwanza wameona kawa balozi basi wamemuanzishia zengwe. Hamisa naye akome.
Bibi tiffah kiboko alienda kwa zari kujifanya anakaa na mjukuu kumbe anafanya yake washirikina ni hatari aisee
Ambwene[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mwaka nimeenda tanga, wilaya ya handeni , kijiji kimoja nimekihifadhi jina.
Nilikutana na wasanii wa Bongo flavour wakubwa wakiwa kwa waganga wa Jadi. Sio siri. Nilipata kuuliza mwenyeji wangu sikuamini niliyoambiwa. Mpka Leo nilijiapiza sitakuja kumuamini binadamu yoyote kutokana na kumkuta msanii ambae sikutarajia ningemkuta kwenye mazingira Yale.
Huyo msanii kwa sasa amehamia kwa Trump na aliooa wale mabinti kutoka kwa uncle kagame. SIKUAMINI JAMANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawapendi Hamisa ashine wanataka wamfanye ka nyumbuKumbe je!!yaani hamisa angepoa wale hawezi waweza hata kidogo watu wa kigoma washirikina mnoo!!!Hawawezi hata mbuni!!
Wale wanatamanj Hamisa awe hana direction kama Wema vile sasa kwa kua yuko busy na mambo yake wanaumia vibaya mnooo!
Ndio akome nyumbu yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisaa!Wema anajuta sana kuuuingia huu mziki aiseeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huo ndo uchawi sasa na mie nautaka!!! Hata sasa hiviHamissa ndumba zake zatua kwa Trump kaalikwa na ex wa rick Ross View attachment 858198
Haaaahaaaa uwiii....limange linajua siri nyingi sana za Wema..nyingi mnoo!Wameripoti misukule imefutwa kaliwa na Ivan week nzima bibie South Huko alienda na kadinda lengo amrushe roho Zarina Hassana Tlale[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaambuliwa kuliwa akawa anamtuma Kadinda amuombe pesa Ivan...hakupewa bibie hah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!mjini sihamiii!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...mange ana MBA but huwaga nahisi anatudanganya itakuwa ana master ya vichambo[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wit una nini!! Eeh Mungu weee!aiseeh Mange hapana ile degree yake ni ya michambo sijui anayotaga wapi Yale maneno kaahh