Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kweli aisee na watu wanakuwa wanakufuatilia kweliKuwa maarufu bongo rahisi sana, ni kifungua account tu afu anza kutukana watu wiki haiishi followers wanazidi laki
Sure...wadada wa kiswahili kuloga kawaida sana!Sawa ni yeye ni ajali km zingine!!
Limefanyaje goviii?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimelisahau etii akaa
Hao wazee wa fursa kama wale wanaofundisha watu namna ya kupata fedha na ambao kila mtu anajifanya amepitia maisha ya shida kisa wamefanikiwa (ili kuvuta wateja)Waganga wa dar ni wambea nao khaaa
Ajiuzulu asee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yaani kaah!nMange anasema Tanzania sweetheart taji tumvue [emoji16][emoji16][emoji28][emoji23][emoji16][emoji16]
Missa alizaa kwa operation?Hyo ya Misa kuchanganyikiwa niliskia aisee ndo alipelekwa had mbagala, mama chibu naye mwenzake hajapona operation unamuongezea ukichaa kah. Hii familia ya Dangote nao ni wanga IPO siku nao wataumbuliwa tu kuanzia diamond
Ustrong mbele ya maiti ya mamaake???...yule mmama ana kasoro kubwa sana! Kwa binadamu wa kawaida huwezi fanya kitendo kama kile! Hata wazungu don't care huwa wana limit kwenye uzungu wao!Team yake wakawa wanamuita strong[emoji23][emoji23]
U -strong wa hivyo hapana siutaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseee kweli tupu!Washirikina kuliko unavyodhani my dear!!!tena wenyewe ule!alienda kuponea Tangaa Hamisa!!mama diamond alitaka awe chizi yule mama hafai Zari alikua anamng'ang'ania dai kaenda South yule mama karudi tu Ua jeusi juu!!Hamisa anaambiwa Mwanga!
Afadhali.... Usema kweli timu ya missa iko for real yaaan...thumb up!Naona team Hamissa wakiongozwa na original east wameanzisha kampeni ya kumchangia hamissa Dollar 10000 naona wapo kwenye approximately Dollar 4000 now hizi team hizi ha ha ha
Wanataka kodi ya nyumba wamuamishe kwenye ghorofa ya mondi
Kama zote yaani Wema Leo anajikaza tu ila akisema aweke mezani data anajificha uvunguni nakumbuka mwanzo alisema Wema mradi wa lipstick kahongwa sijui na dk nani...mmesahau halafu mkewe Wema anajifanya kumuita Dada kumbe mwizi wa mumewe!![emoji16][emoji23][emoji28][emoji23][emoji16]Haaaahaaaa uwiii....limange linajua siri nyingi sana za Wema..nyingi mnoo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] balaa yule sijui anatoa wapi maneno machafu kama Yale![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...mange ana MBA but huwaga nahisi anatudanganya itakuwa ana master ya vichambo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jana sijalala yaan...haaahaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Don ivan hakukata mpunga kwa Tz sweetheart?Govi la Ivan Wema ndo alisemaga [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halikumpa mshiko mnene!!
Exactly sio kwenye msiba mnashikana vile halafu na hawara yako sio mumeo hapana!hata mume sio kihivyo!Ustrong mbele ya maiti ya mamaake???...yule mmama ana kasoro kubwa sana! Kwa binadamu wa kawaida huwezi fanya kitendo kama kile! Hata wazungu don't care huwa wana limit kwenye uzungu wao!
Usema kweli toka afanyage kile kitendo naonaga dish limeyumba.....mmama mtu mzima hata binti mdogo hawezi fanya vilee!Exactly sio kwenye msiba mnashikana vile halafu na hawara yako sio mumeo hapana!hata mume sio kihivyo!
Mungu amempiga Kofi moja takatifu sanaa!kiko wapiii!mwanaume wa kukufanya udharau msiba wa mzazi wakoo!!
Team Missa hapana wanajiweza daah!yani wanampenda kweli maana wanatoa pesa jamani ujue miye sijaamini![emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Wema akiona vile anazidi kuumia na mama dangote wake!Afadhali.... Usema kweli timu ya missa iko for real yaaan...thumb up!
Achangishe wema tuone kama atapata Hata mia?....mdada kapokea kichambo ndo nikajua kuwa wema hapendwi asee!