Halafu mbona Ma mobetto na hamisa hata hawajaongea kwa ubaya?... Ubaya ni kumloga mtu ili aharibikiwe! Sasa mtu anataka tu mambo yake yamnyookee na peace that's all!Mnoo!yaani acha tu!mi sishangai kuroga..nashangaa mganga asiye na siri za wateja![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akapewa?Alikua hahongi madolaree..Wema akamtuma kadinda amuambie Ivan apewe pesaa nyingii!!
Hampendi na lengo ni kumdhalilisha tu!mwanaume anaekupenda hata robo hafanyi ule ujinga!Halafu mbona Ma mobetto na hamisa hata hawajaongea kwa ubaya?... Ubaya ni kumloga mtu ili aharibikiwe! Sasa mtu anataka tu mambo yake yamnyookee na peace that's all!
Mama mobetto mstarabu sana yule mama!
Uwiiii kwa Domo Jana ndo nimegundua ni kiasi gani anamchukia hamisa khaa! Si kwa kichambo kile Mungu wangu....asee Domo hampendi hamisa hata kidogo yaaan!
Haaahaaaaahaaa....wema akubali tu wakati wake umepita tiyari....Hakupewa alirudi na sh...w..a tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] za govii!!!
Tatizo la Mange ndiyo hilo mkishibana sana anakutunzia siri hata ujinga hata hashauri ila mkikosana tu ukitulize ukimchokonoa umekwisha.Kama zote yaani Wema Leo anajikaza tu ila akisema aweke mezani data anajificha uvunguni nakumbuka mwanzo alisema Wema mradi wa lipstick kahongwa sijui na dk nani...mmesahau halafu mkewe Wema anajifanya kumuita Dada kumbe mwizi wa mumewe!![emoji16][emoji23][emoji28][emoji23][emoji16]
Yes yes I do remember!...wema alijiliza ili warudiane na naseeb! Haeshimu wanawake huyu jamaa!Hampendi na lengo ni kumdhalilisha tu!mwanaume anaekupenda hata robo hafanyi ule ujinga!
Ila diamond ni mshenzi sana nakumbuka walishawahi kumrekodi Wema kipindi yuko na Penny!ujue ndo neno la tuache tulale lilipoanzia!!
Wakarusha kwa gossipcop soudy brown!!
Hamisa ni zwazwa tu ata wewe unajuaYes yes I do remember!...wema alijiliza ili warudiane na naseeb! Haeshimu wanawake huyu jamaa!
Hamisa asake life yake tu ile familia aachane nayo mazima! Sasa yule Dylan anavyompeleka huko si ndio watammaliza?
[emoji3][emoji3]mange ndo maana kuna watu wanaogopa kumnawa wanakaa kimya sio kua wanashindwaa hapana siri zao zitakua hadharani!Tatizo la Mange ndiyo hilo mkishibana sana anakutunzia siri hata ujinga hata hashauri ila mkikosana tu ukitulize ukimchokonoa umekwisha.
Wema alimwamini sana Mange siri zake zote alimpa, haya yote ya Ivan Mange anadai ni nyumbu mwenyewe alikuwa anamsimulia kuwa alikuwa kwa Ivan kakuta ana govi, mambo ya wakongo and so forth na hapo kuna mengine mengi mange ana mstahi na mengine anaandika na kufuta anasingizia insta wakati wema anamfuata DM kumwomba afute.
Hii vita Wema hawezi shinda kwa sababu hiyo
Akili hana Hamisa we Yale machawi kabisaa anampeleka mwanawe hapanaYes yes I do remember!...wema alijiliza ili warudiane na naseeb! Haeshimu wanawake huyu jamaa!
Hamisa asake life yake tu ile familia aachane nayo mazima! Sasa yule Dylan anavyompeleka huko si ndio watammaliza?
We si mwalimu?? Halafu mgumu kuelewa,,doooh😱😱😱😱[emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuibia mumeo hamisa?!!
Mtunze mumeo shosti asiibiwe na hata kama akiliwa usimjue mke mwenzio!!
Mmmh Wema anamfata DM? Sidhani mange angemuumbua tuu!Tatizo la Mange ndiyo hilo mkishibana sana anakutunzia siri hata ujinga hata hashauri ila mkikosana tu ukitulize ukimchokonoa umekwisha.
Wema alimwamini sana Mange siri zake zote alimpa, haya yote ya Ivan Mange anadai ni nyumbu mwenyewe alikuwa anamsimulia kuwa alikuwa kwa Ivan kakuta ana govi, mambo ya wakongo and so forth na hapo kuna mengine mengi mange ana mstahi na mengine anaandika na kufuta anasingizia insta wakati wema anamfuata DM kumwomba afute.
Hii vita Wema hawezi shinda kwa sababu hiyo
Yule haonekani hata km form four kamaliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...mange ana MBA but huwaga nahisi anatudanganya itakuwa ana master ya vichambo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jana sijalala yaan...haaahaaa
Haaahaaa .....heee kumbe ilikuwa hivyo?[emoji15][emoji3][emoji3]mange ndo maana kuna watu wanaogopa kumnawa wanakaa kimya sio kua wanashindwaa hapana siri zao zitakua hadharani!
Kwani makonda ma ruge chanzo cha ugomvi nini??
Aliwaambia mabosi wa clouds nawapa masaa tu mumuombe radhi gwajima la sivyo anatoa siri zao woteeee!!ndo wakaisambaza clip ya makonda kuvamia clouds
Nani? Mange, Wema or hamisa???Yule haonekani hata km form four kamaliza
Hawezi DM zina mengi anamsaidia kuhide id najua lazima wanawasiliana hawaMmmh Wema anamfata DM? Sidhani mange angemuumbua tuu!
Labda kwa fekerooHawezi DM zina mengi anamsaidia kuhide id najua lazima wanawasiliana hawa
MangeNani? Mange, Wema or hamisa???