Diamond hawezi kuoa yule ana amini akioa umaarufu utaisha, anategemea kiki, ila ya madawa Hamisa huonekana hzo sehemu sio siriMi nakuambieni hata daimond amuoe nanii atakua mbaya tu tuombeni uzima,mi nashindwa kuwa upande wowote maana familia ya diamond sio ya kuitetea kabisaa,halaf kama clio imetengenezwa maana watu wakiona kuna mgogoro wanaongeza na kusuka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakwel hata mm sijui anajiskia vip! Ila maneno yanauma sana hasa uongoMbaya zaidii mwanaume hayuko upande wake ,nimeona diamond anaongea shit sijui misa anajisikiaje na ukute hapo misa anasingiziwa bora iwe kweli ,,siku zote nasema ukioata mpenzi au mume anaemsikiliza sana mama yake akawa kipofu kabisa haoni hata matatizo ya mama yake UTAPATA TABU SANAA
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wana chuki jmn khaaa! Wanamjadil mtu ambaye pengine n mtoto/mdogo wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nimecheka. Hilo la Mate naweza kukubali. Halafu anaibugia kama yote.Mate ya mwanaume dada sumu!haswa yakiingia kwenye nyeti za mwanamke na ule mdomo anautumia vizuri kwa kubugia nyeti lote
Nyie acheni huoni huwa wakiachwa wanawewesekaa domo anajua kubugia[emoji23][emoji23]Mate ya mwanaume dada sumu!haswa yakiingia kwenye nyeti za mwanamke na ule mdomo anautumia vizuri kwa kubugia nyeti lote
Elimu hana, utu hana....kiki kwanza utu baadae unafikiri ataongea nini zaidi? Yaan mimi najiuliza kwann hamisa anashindwa kukaa mbali na hii familia?Mbona nasikia hiyo sauti ya kiume ni ya juma lokole,halaf diamond hawezagi kuongea tu kwa kauli nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na ukitaka umloge mwanamke mkune vzuri tu aisee nakubaliana na wewe plus umaarufuMate ya mwanaume dada sumu!haswa yakiingia kwenye nyeti za mwanamke na ule mdomo anautumia vizuri kwa kubugia nyeti lote
Hatari dada sumuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nimecheka. Hilo la Mate naweza kukubali. Halafu anaibugia kama yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu. Nimeumia kama vile ni mimi. Ila hata hili litapita tu. Anapitia wakati mgumu sanaBinafsi nilipoanza kusikiliza hizo clip wanazodai ni Hamisaanaongea na Mganga. Ila akili yangu imekataa kukubali ni sauti ya Hamisa. Ila Hamisa sasa hivi anapita kwenye magumu mengi namuonea hadi hiruma. Nadhani kuwa kimya kutamfanya aweze kuishinda hii vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
MtaallamNyie acheni huoni huwa wakiachwa wanawewesekaa domo anajua kubugia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nawe unauweza changia tu Mkuu. Wengine Avatar za kike ila n Wanaume.
Unajua mwanaume mwenye busara kwa hili angekaa kimya tu akaacha mama yake aongee weee basi ,angekaa kimyaa ndio maana mama daimond ana kiburi na kusema ye ndio final say maana wanaelewana sana na mwanae hadi kwenye mambo ya kipuuzi wanasikilizana tuKwakwel hata mm sijui anajiskia vip! Ila maneno yanauma sana hasa uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaonekana mmbea bureKama nawe unauweza changia tu Mkuu. Wengine Avatar za kike ila n Wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nawaambieni kutokana na figisu za kina mama daimond kwa hamisa hata siamini naona uzushi tuAcha tu. Nimeumia kama vile ni mimi. Ila hata hili litapita tu. Anapitia wakati mgumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond hanywi wala kuvuta,kwa hiyo anaonekana anatulia sana nakua makini akiwa kazini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na ukitaka umloge mwanamke mkune vzuri tu aisee nakubaliana na wewe plus umaarufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe vipi wakike au wakiumeKama nawe unauweza changia tu Mkuu. Wengine Avatar za kike ila n Wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi anakunywa banaDiamond hanywi wala kuvuta,kwa hiyo anaonekana anatulia sana nakua makini akiwa kazini