Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Mbona nasikia hiyo sauti ya kiume ni ya juma lokole,halaf diamond hawezagi kuongea tu kwa kauli nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hamisa yule yaani kama wanasema kapewa namba na shoga ake jiulize mama mobeto alimjuaje kama kapewa namba!

Kingine kama mganga wake kwa nini aulize jina
Sawa hamisa kafulia ndo ashindwe kumpa mganga pesa yake kwa wakati!uongo mtupuu!

Nimegoma kuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji16][emoji23]hatariii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio hamisa yule am telling u!sio yeye ma waliofanya hivyo wataumbuka vibaya mnoo!

Hamisa hawezi ongea na mganga kwenye makelele vile hata iweje!yaani wale watunga script wamekosea mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa tunasubiri akashtaki walaa haina shida akikaa kimya kwa hili ntaamini kweli ni yeye!

Sent using Jamii Forums mobile app
hana ubavu huo
Hawezi kuthubutu kabisa
Akubali tu kwamba kafanya makosa kama yule dada wa Arusha ingawa kesi tofauti kidogo ila alitoka hadharani akaomba msamaha watu wamesahau
 
Uongo looh!duka kafungua mwenyewe!!!!hapo kupangiwa tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee KAZII IPOOO....! Mwanamke kudate na diamond ni Kama unadate na Mama ake na Dada zakee...familia jambo la Diamond ni laoo aisee hata Kama ni ya Chumbanii khaa.. sema pia Mabeto anazingua Sana kuendelea kumng'ang'ania diamond na inaonesha alimtoa kwa Zari kwa uchawiiii... Ilee Familia ni NYOSOOOOO[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…