Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hamisa yule yaani kama wanasema kapewa namba na shoga ake jiulize mama mobeto alimjuaje kama kapewa namba!Mbona nasikia hiyo sauti ya kiume ni ya juma lokole,halaf diamond hawezagi kuongea tu kwa kauli nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wenzake kina mama dangote wamemuwahi kumharibia image yake na ukute mama diamond alikuwaga anaenda wote kwa wagangaMi nakuambia Hamisa anaroga ila yule si yeye ukweli utajulikana tu!yaani mganga wako huwezi Fanya ule upuuzi!yaani wale wamefake sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana tuu!ni maarufu kuliko wakuu wa mikoaDuuh hii mitandao ya kijamii inaweza ikakupaisha na kuwa maarufu kwa mambo ya ajabu
[emoji3][emoji16][emoji23]hatariii!Akili ya hamisa na mama yake zimedumaa,wanawaza vya kupewa na kupata mtu maarufu
Kama Hamisa angekua wa maana angeshabwaga manyanga hadharani kama zari,kwa sababu hana cha kupoteza ataishi kwa child support
Duamond ni mgumu kuhonga kwanza,ni wema tu alibahatika alipewa 50 aende china akafanyia pati,akapewa gari akaliuza kwa nyodo leo anatembelea uber bajaji
Sio hamisa yule am telling u!sio yeye ma waliofanya hivyo wataumbuka vibaya mnoo!Binafsi nilipoanza kusikiliza hizo clip wanazodai ni Hamisaanaongea na Mganga. Ila akili yangu imekataa kukubali ni sauti ya Hamisa. Ila Hamisa sasa hivi anapita kwenye magumu mengi namuonea hadi hiruma. Nadhani kuwa kimya kutamfanya aweze kuishinda hii vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mondi hatokaa aoe maisha yoteeHalaf dai haonagi madhaifu ya ndugu zake,ni wa kumuacha,ukiwa na mahusiano na diamond usijulikane kabisa na ndugu zake labda mpaka ndoa tu,wale watu wagumu sana kuishi nao karibu kila mwanamke wa diamond ananp matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute wameigiza, Hamisa kumuitia mama mond shilawadu kilimfanya mama amchukie sana Hamisa nadhani ndo anamkomeshaMi nakuambia Hamisa anaroga ila yule si yeye ukweli utajulikana tu!yaani mganga wako huwezi Fanya ule upuuzi!yaani wale wamefake sana
Sent using Jamii Forums mobile app
hana ubavu huosawa tunasubiri akashtaki walaa haina shida akikaa kimya kwa hili ntaamini kweli ni yeye!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa yaani!simuamini huyo hata kidogoHuyu dada alivyo na chuki hata simuaminigi kabisa hata aseme nini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo LA Hamisa Leo anachambwa kesho utakuta anachezewa kiuno na mavideo juu na huyo huyo Dai .
Na wanamyumbisha yule kaka haswaa!!Mwanaume asiye na msimamo na anaye msikiliza mamake hawezi dumu na wanawake aisee, I think hyo familia ingetaiiwa iwe na baba sasa bi Sandra ndo baba ukichangia na wanawake vibifu bifu visivoisha basi wanamyumbisha tu Diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo looh!duka kafungua mwenyewe!!!!hapo kupangiwa tuu!wema ma kesi yake ya bange kasababisha mpaka wasanii wapigwe chini na ccm
Hamisa hawezi kumaintain status bila ya kutumia kivuli cha diamond,akili hiyo hana
Duka na kafunguliwa na diamond nyumba kapangishiwa,sijui kodi ikiisha atahamia wapi,anavyoweka masharti basi,akikataliwa anasema mbona zari umemnunulia nyumba na pete za Almasi,!
Kweli kabisaaMi nakuambieni hata daimond amuoe nanii atakua mbaya tu tuombeni uzima,mi nashindwa kuwa upande wowote maana familia ya diamond sio ya kuitetea kabisaa,halaf kama clio imetengenezwa maana watu wakiona kuna mgogoro wanaongeza na kusuka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ujiulize hapo hawa wanawake kawafanya nini!Huo ndiyo ujinga unaofanyaga. Na Dai ni anavyojua kuwachezea Akili sasa. Zari mwenyewe alinyooka. Sijui anawafanyiaga nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nakataa hapo kwenye madawa!Diamond hawezi kuoa yule ana amini akioa umaarufu utaisha, anategemea kiki, ila ya madawa Hamisa huonekana hzo sehemu sio siri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa!Elimu hana, utu hana....kiki kwanza utu baadae unafikiri ataongea nini zaidi? Yaan mimi najiuliza kwann hamisa anashindwa kukaa mbali na hii familia?
Sent using Jamii Forums mobile app