Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Mbona nasikia hiyo sauti ya kiume ni ya juma lokole,halaf diamond hawezagi kuongea tu kwa kauli nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hamisa yule yaani kama wanasema kapewa namba na shoga ake jiulize mama mobeto alimjuaje kama kapewa namba!

Kingine kama mganga wake kwa nini aulize jina
Sawa hamisa kafulia ndo ashindwe kumpa mganga pesa yake kwa wakati!uongo mtupuu!

Nimegoma kuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ya hamisa na mama yake zimedumaa,wanawaza vya kupewa na kupata mtu maarufu
Kama Hamisa angekua wa maana angeshabwaga manyanga hadharani kama zari,kwa sababu hana cha kupoteza ataishi kwa child support
Duamond ni mgumu kuhonga kwanza,ni wema tu alibahatika alipewa 50 aende china akafanyia pati,akapewa gari akaliuza kwa nyodo leo anatembelea uber bajaji
[emoji3][emoji16][emoji23]hatariii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nilipoanza kusikiliza hizo clip wanazodai ni Hamisaanaongea na Mganga. Ila akili yangu imekataa kukubali ni sauti ya Hamisa. Ila Hamisa sasa hivi anapita kwenye magumu mengi namuonea hadi hiruma. Nadhani kuwa kimya kutamfanya aweze kuishinda hii vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hamisa yule am telling u!sio yeye ma waliofanya hivyo wataumbuka vibaya mnoo!

Hamisa hawezi ongea na mganga kwenye makelele vile hata iweje!yaani wale watunga script wamekosea mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa tunasubiri akashtaki walaa haina shida akikaa kimya kwa hili ntaamini kweli ni yeye!

Sent using Jamii Forums mobile app
hana ubavu huo
Hawezi kuthubutu kabisa
Akubali tu kwamba kafanya makosa kama yule dada wa Arusha ingawa kesi tofauti kidogo ila alitoka hadharani akaomba msamaha watu wamesahau
 
wema ma kesi yake ya bange kasababisha mpaka wasanii wapigwe chini na ccm
Hamisa hawezi kumaintain status bila ya kutumia kivuli cha diamond,akili hiyo hana
Duka na kafunguliwa na diamond nyumba kapangishiwa,sijui kodi ikiisha atahamia wapi,anavyoweka masharti basi,akikataliwa anasema mbona zari umemnunulia nyumba na pete za Almasi,!
Uongo looh!duka kafungua mwenyewe!!!!hapo kupangiwa tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee KAZII IPOOO....! Mwanamke kudate na diamond ni Kama unadate na Mama ake na Dada zakee...familia jambo la Diamond ni laoo aisee hata Kama ni ya Chumbanii khaa.. sema pia Mabeto anazingua Sana kuendelea kumng'ang'ania diamond na inaonesha alimtoa kwa Zari kwa uchawiiii... Ilee Familia ni NYOSOOOOO[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom