Ukweli ukipatikana usisite kushare nami
Nishamuona hamissa live yaani unachoona ndivyo alivyo. Tena camera haimpendi na haimtendei haki iHamna kitu hapo, hapo mmezugwa na ma-filter plus make up na ubora wa camera ndio unao mpaisha
Hapo credits nampa camera man na yeyote aliyetia mkono kwenye editing ya picha.
Nishamuona hamissa live yaani unachoona ndivyo alivyo. Tena camera haimpendi na haimtendei haki i
Maana yu
upo supper kuliko uonavyo
Ili mradi upate sehemu ya kumwagakuna wanaume wanafaidi sana ku ma ma ke daaaah,
mi nakomaa na akina mwajuma kinuka mdomo alimradi nasie 'tumwage'
Yaani watu walianza kula embe tangu lipo mtini?Ngono za utotoni zilimdumaza Lulu, Ila Ni mzuri Sana wa sura
Ulivyomuona live ulitakiwa ukimbie, itakua una matatizo ya machoNishamuona hamissa live yaani unachoona ndivyo alivyo. Tena camera haimpendi na haimtendei haki i
Maana yu
upo supper kuliko uonavyo
Walianza kula Edo dogo na chumviYaani watu walianza kula embe tangu lipo mtini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Picha uliyoweka imepigwa msasa sana,sina uhakika kama ana huo uhalisia
Kuna yule Lyn alishaedit picha hadi kitovu kikapotea
hahahahahaPicha uliyoweka imepigwa msasa sana,sina uhakika kama ana huo uhalisia
Kuna yule Lyn alishaedit picha hadi kitovu kikapotea
Acha kashfa mpwaJapokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.
[emoji23][emoji23]piganeni tuu atakayeshinda tutamuona ndio mkweli[emoji119][emoji119][emoji23]Hapana nakataaa kabisaa, mie mwenyew nmemuona live alikua tofaut na picha zake.
[emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaha
Achana na kutumika kwanza hana sifa ya urembo kiasi hiki ambacho amepaishwa
Kuna kitu kinaitwa power of makeup, kiufundi unaambiwa makeup haimkataagi mtu labda ukutane na decorater ambaye ni underdog
Sasa tuko katika zama za tecnolojia yenye masimu na mikamera yenye sensor za kutosha MP za kuzidi.
Kapigwa makeup, kajilipua picha, nayo picha kaipiga filter za kutosha inatoka hapo inapitiliza adobe inafanyiwa mixing za hatari kisha inapostiwa IG
Na ndio maana kuna mdau mmoja humu aliandika uzi akitaajabu kumuona uwoya sabasaba akiwa na sura tofauti na ile ya insta