Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!


Huyo yupo bizi kutetea kama vile anahusika kujikosha roho kujaribu kufanganya watu au ndio ameibukia mitandaoni siku alijiunga humu na hajui kusaka habari zilizopita pia. Amejaa wivu juu ya Mondi kama yule mmama anayetaka kufwa kwa maendeleo yake na kujaribu kumshusha kwa maneno ila anashindwa.. kila akiona Dai na Zari wapo na picha zao za raha yeye anaweuka na uongo. Ila kila kitu kimo humu JF tangu enzi...
 
Mkuu mbona unanitolea mapovuu sasa while mm sina timu yoyote I was just saying [emoji3] [emoji3] [emoji3] just chill mkuu okay kwanza kunywa kwanza glass moja ya maji maana naona umetumia nguvu nyingi kuandika tena kwa kupanick ,mm kati ya wote hapo hakuna anaenishuulisha kwamba nimuonee wivu zari mtu ambae hata robo 3 yake sipo .. [emoji3] [emoji3] [emoji3]this is crazy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wa madale kila wakitaka kutoa Wimbo mpya lazima watafute Kiki ili wazungumziwe mjini.

Hapo ni wazi Dimond kalipa kisasi....Baada ya kuona Nillan sio wake na yeye kaenda kuzalisha nje

Ooh ulimsaidia kufungua na kufunga miguu!? Acha wivu kuandika upupwu
 
Kuna kaukweli hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Humu wajuzi kama mimi tunakusoma posts zako hata za threads zingine na kuunganisha.. naona umeanza kujishusha kiaina kuutuliza. Ukiona nimeandika ujue nakujaji kutokana na unavyopenda kuandika hata nje ya uzi huu.
 
Zari ni mjane mondi hamuoa ndo maan zari anauza mali za ivan kuhuhonga mond asimwache.

Sijawahi kuona mtu anaejidai kaolewa anapambana na kuhongo.

Zari tulia wewe sio njane pekee duniani mda uaoshinda mitandaoni kugombania bwana ambae hajakuoa piga goti umuombee marehemu mmeo apumzike kwa amani.

Usife moyo bado una option nigeria.
 
Zari ni mjane mondi hamuoa ndo maan zari anauza mali za ivan kuhuhonga mond asimwache.

Sijawahi kuona mtu anaejidai kaolewa anapambana na kuhongo.

Zari tulia wewe sio njane pekee duniani mda uaoshinda mitandaoni kugombania bwana ambae hajakuoa piga goti umuombee marehemu mmeo apumzike kwa amani.

Usife moyo bado una option nigeria.
 
Maskin hadi nakuonea huruma yaan unamuomea wivu mkali zari
 

Na Range Rover imeshatinga mjengoni kwa Zari.
Hao wanajua kupata wapya kwenye kuwasoma na kuteka akili zao nao hao full kufata mikumbo. Mtu yule mwanamke wa Insta anamchukia Diamond tangu alipoona anapaa na sio kuanguka alipoachwa na Wema akiwa mmoja ya waahauri wakubwa. Alipoingia Zari akafwa kabisa, huku Sintah alishaanza kumrusha Zari miaka mingi kabla ya yeye kukutana na Diamond. Now wanajifariji kiuongo kusema Zari alimpokonya huku tuliokua na macho tuliyaona alivyoachwa kama vile takataka. Ila D afunge zipu amezidi kuchepuka shaaa
 
Yaani nyie wenye mateam ipo siku mtakuja kuumbuka humu mitandaoni maana mnachezewa akili na hao mastaa wenu ili muendelee kuwaongelea mm ndo mana kwenye hili la hamisa , mond na zari siko side yoyote maana naona kuna akili za watu zinachezewa tu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waaoww kumbe dai mario ee daah salute kwa zari yaan ile nyumba ya south Africa kanunua zari,madale kanunua zari,ukarabati nyumba ya mbagala pesa za zari,studio na vifaa vyote vya WCB vyote pesa ya zari. ZARITHEBOSSLADY SLAYING LIKE A QUEEN

Nimependa
Ha ha haaaaaaa
Donge nono
 
Yaan wanatia huruma hawa watu wamegundua kumshusha zari ni ngumu mno. Mange kule insta analia kabisa maskin weee timu imepata pigo baada ya kupata tetesi ya ndoa kati ya zari na dai
 
Hapa nimeingia choo cha kike, huu umbea hata haunisaidii kitu ni bora niendelee kufuatilia sinema ya Bomberdier tu@
 
Maskin hadi nakuonea huruma yaan unamuomea wivu mkali zari

Ila Hamisa ndio eti akashushuka zaidi baada ya kuona Mama D na dada yake walisusia sherehe ya siku saba!!! Lazima alipasuka siku hiyo. Nahisi hao wadaku wanawake walipewa mchambo na Dai wakumletea matatizo wakakoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…