Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Hahaha,huwa wanasema zari hana hela saiv wanayakana maneno yao ati zari ndie anayemhonga dai haha hawa watu kituko kweli

Yaani wanatamani kuwa Zari hadi wanachamganyikiwa. Na business ya Karanga sio yake kama vile mtu hawezi kuwekeza pesa ma hata kubadili rangi ya packets etc na kuimiliki asilimia kubwa kama sio yote. Yote haya Zari kupemdwa na Dai kufika... Dai aliyekuwa hazai now wanampigania watoto wawe ndugu na watoto wa Zari. Eeeh eti pia anataka mali za Ivan. Ninacheka tu
 
Haha ila kweli wanawake jaman ni wa gonjwa,....kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyew,.......yani hivi viumbe sijui vinaubongo gani yani wanaume huwezi mskia anajisfia mbele za watu kuwa kazaa na dem wa jamaa flani ni ushwayani na fedhea sasa huyo mtoto akilelewa single mother atakuja mlaumu baba kweli wakati tu mama alipigwa bao la bahati mbaya na mtoto kukataliwa,...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sina timu bali napenda kuwasoma wote.. hamisa kachemsha kachemsha.. mgamga alimdanganya akimpachikia Dai mtandaoni atampata akiachwa.. ila tukubali amejitia aibu na hivyo tabia yake ya kuwa puta duh. Ikija kwa Zari napenda habari zake hategemei kulalwa kula.
 
Sioni sababu ya kumtukana hamisa ingekuwa mimi mondy kufuta kauli za watu kuwa sizai ninngemkubali mtoto wa hamisa kwa nguvu zote mwanamme rijali haogopi hawara wa nje watu wana wake na wazaa nje na wanawatambulisha watoto kwa wake zao naamini maneno ya penny kuwa mond hana uzazi kuna siri hapo kubwa ya kupewa watoto kwa mkataba na zari akimuacha paa siri nje
 
Kina kiherehere sana kama debe tupu,kisa walienda kumuona hosp baasi akapata misifa tele akidhan kapata upenyo wa kuingia mandale
Ila Hamisa ndio eti akashushuka zaidi baada ya kuona Mama D na dada yake walisusia sherehe ya siku saba!!! Lazima alipasuka siku hiyo. Nahisi hao wadaku wanawake walipewa mchambo na Dai wakumletea matatizo wakakoma.
 
Yaan wanatia huruma hawa watu wamegundua kumshusha zari ni ngumu mno. Mange kule insta analia kabisa maskin weee timu imepata pigo baada ya kupata tetesi ya ndoa kati ya zari na dai

Na tarehe wanawapangia ili ikiwa ingine waje na sinilisema hivyo wamebadili. Mange wengi hawamjui alipata kiki kupitia Zari na Diamond kizaidi na sasa hivi anawarudia na habari za bado kutaka waachane. Lingine kubwa Mange bila kumuongelea Makonda anakosa kiki iliyomfikishia followers wote hivyo lazima aangaike juu yake.
 
Tiffa na nillan wameshampa sifa ya ubaba imetosha
 
 

Wewe kazae na mume wa mtu ukubarike uje utuandikie hayo. Huyo mtoto umejuaje ni wa Dai? Hamisa amedanya DNA? Anajulikana kwa kuwa puta ili aishi, unafikiri kwanini amelosti ma kubaki na damu yake mbaya ya kisomali kupiga maneno tu.. alifikiri yupo kwao huko baada ya kuzaliwa na mkimbizi aliyekuja nchini hapa!?
 
Mange anadhan kuwatukana watu ndo kujipunguzia stress alizonazo kumne anawaonhezea baraka tele
Kwa makonda kashindwa kumng'oa dar sembuse zari kwa dai
 
Tiffa na nillan wameshampa sifa ya ubaba imetosha

Ubaba huo uliokuwa na shaka unaufosi mwenyewe Nilan chapa ya ivan bora hata yule mganda angekuwa hajawahi kukutana na ivan ila kam huoni basi hata picha hutazami wanawake sie tuna siri kubwa sana ikipita DNA kama kile kipindi cha tv watu paa wamezimia unakuta watoto wote sio wako
 
Kina kiherehere sana kama debe tupu,kisa walienda kumuona hosp baasi akapata misifa tele akidhan kapata upenyo wa kuingia mandale

Yaani bure kabisaaaaaa, na kuedit picha zote.. ila hakujipiga kweli picha na dai wakiwa kitandani au wamekaa sebuleni kama kweli walitoka wote... kama hakufanya hayo nazidi kumuona ni zezeta haswa.. hana akili zaidi ya za kujiputa kuishi kama alivyokuzwa tangu kuwa ndio msingi wa kupata pesa.
 

Ila unajua kupendeza kule instagram cocochanel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha
 
Inawauma kuona zari anafaidi hela ambazo wao walizipiga teke
 
Hawajielewi wamekosa cha kufanya wamebaki kumwangalia zari kwa jicho la husda
 
Nini picha eti hata sms au voice calls za dai hana,inakuaje mtu mpo mapenzin asikutumie sms au kukupigia simu aisee. Kama ni kweli anapendwa au alipendwa amwage ushahid bana watu waamue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…