Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Warumi amekufa
Nafahamu Mkuu, sisi tuliokuwa wapenzi wa story zake tulikuwa hatuachi kumsoma

Habari zake nyingi zilikuwa ni exclusively, ilifikia kipindi nikawa nahisi labda Marehemu warumi alikuwa anafanya kazi na kina gossip cops Suddy brown ama Kwa Shigongo


He/She will still missed and remembered

My her/his soul rest in peace πŸ™πŸ™
 
Pamoja na kwamba alishaolewa ila bado akawa anadanga?

Mbona mzee nasikia alikuwa na walinzi binafsi ni ngumu kuchepuka?
Not real sure but story yake ilikuwa hivyo, kwamba alikuwa anadate naye kabla Mzee Machache hajaaga Dunia

Lakini Mjukuu utakuwa unafahamu Mwanamke akiamua lake, unaweza kumchunga lakini akaenda kugongwa hata akiwa anaenda shopping Kariakoo πŸ™Œ
 
Rick sijawahi kuamini kama walikuwa wapenzi, ilikuwa biashara ile.

Huyo mwingine Mghana Kevin ndiye walikuwa wapenzi, wanasema wameachana kwa wema hawana shida umbali uliwashinda.
Rick Muhuni wa Miami hajamwacha maana kashoboka mwenyewe. Ila wadangaji kwenye hela,wanajimaliza sometimes bila kutongoza,ukiwa na hela unaweza sahau kutongoza.

Sasa hao tunao wajua,wale tusio wajua wapo wangapi? wanaomega kimasihala wakina Nenga wapo wa ngapi?

Naona Sancho nae siku hizi Hijabu katupa ,karudi sokoni mwendo wa nusu uchi, wazee wa Chaputa sasa hivi hawakauki kwenye page yake.
 
Siku hizi ishakuwa kama kawaida unakuta binti anamsifia mwenzake anabahati ya kupata wanaume wenye hela,yy nae anatamani awe kama rafiki kwenye jicho lake haoni akifanyacho rafiki yake ni umalaya.

Rumors zinasema amefanya Surgery, moja ya utumwa mbaya sana kwani wengi wanaofanya Surgery wakianza hawaachi,sababu wanawake wengi huchuja kadili mda unavyoenda.
 
Safi sana Sancho. Ila nauhakika hana marinda
 
Mkuu naomba linki ya sancho Instagram. Please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…