Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

View attachment 3005811

Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.

Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la kificho kwa takribani mwezi wa pili sasa.

Penzi lilimea SA, Ubuntu Botho!
Wawili hao walikutana kwenye ndege wakati wa kuelekea kwenye mechi ya marudiano ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, CAFCL dhidi ya miamba ya Soka ya Afrika ya Kusini Mamelody Sundowns.

Kigogo huyo kijana mwenye haiba ya kitanashati na mwenye sifa kuu tatu wazipendazo zaidi wanawake kutoka kwa wanaume… tall, dark and handsome jina lake hutajwa kwa kutanguliwa na taaluma yake.

Inataarifiwa kwamba wawili hao walizama penzini punde tu walipokutana kwenye ndege, na hadi kutua S.A penzi lilishachipua!

Taarifa zaidi zinasema hata uwanjani walienda kwa gari moja, na walikaa jukwaa moja!

Aziz Ki atumika kuokoa jahazi!
Mwamba kutoka Ouagadougou, Stephen Aziz Ki anatajwa kutumika kuinusuru ndoa ya Kigogo huyo wa Yanga mara baada ya mkewe kushtukia mchezo.

Kama mnavyotujua wabongo huwa tunanyimana michongo ila sio umbea, taarifa zilimfikia mke wa Kigogo ambaye aling’aka na kupelekea ndoa kuwa rehani!

Mwamba Aziz ambaye anatajwa kama mchezaji pendwa zaidi na Kigogo huyo klabuni hapo, ilibidi atumike kutengeneza mapichapicha ya kumpoza mke wa Kigogo.

Ndio yale mliyoona mara wako pamoja wakitokea uwanja wa ndege, wakikumbatiana uwanjani na kwingineko yote yale ni maigizo, Ki hana mahusiano ya aina yoyote na Hamisa bali alitumika kumnusuru boss na mshkaji wake kuepuka dhahma kutoka kwa mke wake.

Penzi hatarini kuvunjika muda wowote!
Baada ya wambea kumsanua mke wa Kigogo, inasemekana wapenzi hao wako hatarini kuachana muda wowote kutokana na suala hilo kumkalia vibaya Kigogo.

Mke wa Kigogo ni dada wa anayetajwa kama mfadhili wa taasisi ya anakofanyia shughuli zake Kigogo. Hilo linamuweka pabaya zaidi Kigogo kwani endapo akiendelea kutoka na mrembo huyo kimapenzi huwenda kibarua chake kikawa hatarini kwani mfadhili hatoweza kuvumilia kuona dada yake akinyanyasika juu ya penzi hilo la mumewe na Hamisa.

Hamisa kiboko, sio mchezo!
Jamani Hamisa apewe kombe lake, ikishindikana basi hata maua maana anastahili. Ndani ya miaka hii mitatu ameshatoka na vigogo kutoka kwenye klabu zote 2 kubwa nchini, achilia mbali kuzaa na wanaume wawili maarufu na wamiliki wa redio 2 kubwa nchini!

Hapo kabla alianza kutoka na Kigogo kutokea Simba, japo penzi lao lilikuwa mithili ya upepo kwani halikudumu.

Lakini licha ya kutokudumu, penzi hilo lilitumika kama chambo kumpatia Mwijaku ajira Simba.

Chanzo changu nyeti kimesimamia show,

Nifah.
Huyu nahisi ana shida huenda hana ladha...


Yaani huwa hakai na wanaume kabisa sidhani hata kama kawahi kumaliza mwaka na mwanaume wanasepa....
 
Mhindi nasikia hahongagi, alijipigia akapita hivi......afu huyu dada itakuwa upstairs empty, anampenda wanaume wenye status lakini mbona wanaume wakishajipigia wanapotea ghafla🤣 husiano halifiki hata krismas mbili Yani, wanapotea
Sure sijui ni uzuri wa nje tu, ndani hamna kitu....
 
Anasema khsu range ambalo linasemekana amelipata kwa Achimw** watu hawataki kukubali kuwa ni mala wanakalia kwenye kivuli cha ni ya kwake acha aitembeze,
Sasa wewe unayejua mbona husemi? Huyo Achimw ndio nani? Weka mambo mezani.
 
🤣🤣🤣🤣🤣team tununu huwa mnafurahisha sana mnavyomtetea. Hata kwa chai jaba mlikua mnasema hivyo hivyo mara wanapenda kuliko wanawake wote wa chai mwisho wa siku hata mtoto hatambuliki tandale daah. Tununu yupo kibiashara zaidi.

Alipo hojiwa kuhusu hayo mahusiano akabadili na sauti akisema ubusy umechangia. Anaiga visingizio vya watoto wa seoul kutwa kuachana wakisingizia ubusy
Kwa Kevin walifika mbali jamani, walikuwa na malengo ila jini mkata kamba akaingia.
 
Huyu demu sio mtamu!! Rickross nae aligusa usku mmoja akakimbia, yahan wanaume wenye pesa anawanasa kwa mvuto wa nje like shape , sura n.k ila papuchi yake sio tam....majizzo alipiga mara ya kwanza ,,akajiuliza mhm au nimelewa ngoja nihakikishe akapga tena akasema kumbe kopo, ila ndo hvo na mimba ikajaa, akaja diamond akapiga Mara ya kwnza ,,,akasema mhmm,,,au uchovu wa kutoka kwenye shoo,? akapga mara ya pili akasema mbn kinachoonekana na kilichomo ni tofauti ila na mimba ikanasa?, Akaja mwanetu Billnas akachapa mara moja akasema Bora nirudi kwa mpare wngu nandy, akaja Otile akapiga usku mmoja akasema ehee Bora nirudi kwetu Kenya, akaja Rickross akapga akasema! what is this meen? let me take Bellaire champagne...akasepa hata nauli hakumpa,,,demu karudi bongo akakaa anawaza alivyopoteza pambano na bilionea mkubwa Rickross,,,akaja yule jamaa sijui nani, alikuwa anavaa kaunda suti anavalia raba kubwaaa..... akampeleka na muimbili wakatembelea wagonjwa,,,wakarudi nyumban usku jamaa akaomba mechi,, dada wa watu sio mchoyo akampa uwanja,,,jamaa akapga akasema duh! mbona kama bofulo? Jamaa akaamka asubuh akasema nafatilia biashara zangu China ,,akaenda mazima!! Sasa mwanetu wa Yanga Ally Kamwe nae akataka ajaribu kupiga ,,,Ila za chinichini demu imemkazia inahisi huyu dogo anaongea sana atamsema kwa watu kwamba hali huko ndani sio shwari. Sasa akaja mwanetu mburkinabe! Aziz Ki, tunasikia mda wowote atapewa mechi,,, tusubr atavumilia bofulo au nae atakimbia!! Itaendelea.......
Mkuu gazeti lote hili umeandika wala halina maana, ungelikuwa umewahi kutoka nae ndio ungeeleweka achana na hizi nadharia za kutunga.
 
I'm real happy for that Mjukuu 🙏

Najua makwazo yapo, ndiyo maana hata vikombe haviachi kugongana kabatini.

Kikubwa mjue ninyi ni Binadamu, na hakuna anayedate na malaika Kati yenu

Vyema muishi Kwa kuchukuliana.

Ni maombi yangu muishi hadi muufikie Uzee pamoja🙏🙏🙏
Amen.
 
🤣🤣🤣🤣🤣team tununu huwa mnafurahisha sana mnavyomtetea. Hata kwa chai jaba mlikua mnasema hivyo hivyo mara wanapenda kuliko wanawake wote wa chai mwisho wa siku hata mtoto hatambuliki tandale daah. Tununu yupo kibiashara zaidi.

Alipo hojiwa kuhusu hayo mahusiano akabadili na sauti akisema ubusy umechangia. Anaiga visingizio vya watoto wa seoul kutwa kuachana wakisingizia ubusy
Ujue Hamisa kwa aina ya maisha yake ndiyo inayoleta shida wanaume kuweka makazi. Lakini muhimu ana maisha yake basi, kuolewa majaaliwa
 
Back
Top Bottom