Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Nifah sema tena kitu roho zawatu zisuuzike pulllliiiizz!!!!!
Hali halisi ikoje Sasa🤔???

Ki na bibie wako honeymoon eti... Yeah eti

Cc Smart911
Darling, wanandoa wapya ni watu ninaowapenda na kwa kuwa wameoana mengine tuyaache tuheshimu ndoa yao.

Yapo ya kusema ambayo busara yangu imenituma kukaa kimya na kuwatakia kheri, na ndoa yao idumu...
Amen!
 
Umbea hauna posho,umeumbuka shubamiti,
 
Mbona weweee we utooo
Ungekuwa makini kuna interview walifanyiwa Aziz akaulizwa swali, jibu alilolitoa lina-link na hii habari kuna paragraph nilielezea hilo, ikabidi Hamisa aingilie akamzuia asiendelee kuongea.

Hili jambo lilitaka kuondoka na roho ya mtu, unajua nini wewe?
Ni serious kuliko unavyodhani!
 
Kwenye wale wawili wenye akili wewe ni watatu.
 
sasa ulitaka kigogo asile raha yadunia..??😂
ila ile nyamnyam imetengenezwa maana picha zake za awali nasasa vitu mbili tofauti!..
huku mtaani vipo vitu natural nyamnyam sijui kwanini watu wanahangaika nakuku wakisasa!
🤣🤣🤣Yap na yeye alirekebisha shep 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…