Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

Yaani hii nchi tuna hasara kubwa sana. Huyu ni msomi kabisa Dr. Bora aliacha kutibu watu akaenda kufanya siasa
 
Chawa mkubwa huyu kigangwala
Yaani hii nchi tuna hasara kubwa sana. Huyu ni msomi kabisa Dr. Bora aliacha kutibu watu akaenda kufanya siasa
 
Nilifikiri amemkaba kwa kujibu hoja zake
 
Ila siasa zinakufanya uonekane hayawani kabisa. Alichoongea Bashiru na wanachomjibu hawa ni Mbingu na ardhi.
 
Pumbafu sana wewe
 
Kigwangala juwa kwa sasa huna nafasi tena ndani ya CCM upande wa serikali wewe na Msukuma na Lusinde mmekuwa watu wa kutoa maneno ya dhihaka kwa watu ambao wanatoa maoni yao tena kwa kuikosoa serikali

Nachojiuliza serikali isipokosolewa itajirekebisha vipi leo katika mkutano wako na waandishi wa habari badala ya kujibu hoja umeanza kuuliza kadi yake ya CUF je pamoja na yote kwani CCM ni mali ya mtu hadi ufikie kuuliza vitu hivyo! ndani ya CCM kuna watu wanaojitambua huwezi ona wanakuwa waropokaji kama kigwangala na genge lenu, kinana na mama anawachora tu anajuwa nyie mnandimi mbili hamna msaada

Nilitegemea ungejibu hoja za dr.bashiru nimeshangaa sana kuona unaenda kuuliza kadi ya CUF , CCm kuweni makini na watu wa aina hii yakina magwangala na msukuma ni watu hatari sana katika nchi na hawa kwa maoni yangu ni bora vyeo walivyonavyo vibaki hapohapo maana hao wangekuwa na uwezo wakushika nyasifa za juu watu wanaweza kutembea bila kuongea maana hawapendi watu wanaotoa maoni.
 
Hadi sasa hivi umeme ni tatizo kubwa! mfumuko wa bidhaa huwezi ongea kika kitu nikaa la moto[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Kujipendekeza tu !!
 
Dakta Bashiru pia amshukuru sana SSH kumpa ubunge maalum kwani angeweza kumtupa mtaani akarudi kule kule kufundisha chuo kikuu, awe kama mtu mwenye shukrani na mwenye kujielewa kichwani.

Kuwa mbunge maalum ni daraja la kupumzishwa kwa muda wakati akifikiriwa apewe nafasi gani, kumbe yeye katunza kinyongo kwa mkuu wake wa kazi.

Huu ni ushahidi kuwa SSH hawamheshimu walio chini yake, wanamzunguka na kuongea maneno ya kejeli wakimuona mwanamke. Mazingira ya Job Ngudai ndio haya haya ya Bashiru, wana pre-empt maongezi binafsi mbele ya umma pasipo kufahamu wao wenyewe.
 
Bashiru sio Ndugai...ni kweli!
Ila ukiwa-Mix...hawa hapo.....

#Bashiru + #Ndugai + makatibu wote walioenguliwa mikoani na wilayani.
Baada ya ujio wa "Saa100" za "Ami- dou Shaka!"

Sambamba na "Hamfurahi-Palepale"
&
"Low-Hang Mpenaa!"

+washauri wa Mwenye-Stuli
Prof, "Kaa-Body!"
&
Mnyarukolo.."Look-Wave!"

Sasa tunaelekea Patamu....kushika Ha-tamu!
 
Nadhan mliokuwa mnafuatilia tweeter mtakumbuka kakurwa alikuwa bize anamganga jiwe asidhuriwe akijidai mtaalam. Ila kwa vile Mungu ni Mungu akapindua meza vibuyu na makombe yote yakapinduka. Lakin kwa vile sikio la kufa.... Anaendelea. Pamoja na Ukufunzi wake nadhan haelewi vzr concept ya Democracy wao wakat wanasifia na kunyenyekea ilikuwa sawa kwao na chungu kwa wengine. Then awamu hii yampasa awe mpole kama ambavyo amekuwa tangu mwaka jana mwez wa 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…