Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Nipo hapa nasoma mjadala wa Jamaa wa Dar...nimefurahi kusikia Dar kuna redio inaitwa efm.
 
Alivyo mshamba atakuja kukujibu tena
 
Aiseee atakuwa amehamua kumaliza career yake! Binafsi namtakia kila la kheri lakini bado najiuliza atatangaza kipindi gani? EFM watabadili vipindi?
Mbona mnakuwa wapiga ramli sana kwenye maisha ya watu Jamani.
 
XXL ni kipindi chenye vipaji vingi mno,
Pale kuna
Adam Mchomvu
Fetty
Kennedy the remedy
hao wote hawashindwi kuendesha kipindi.
Kwamba Fetty yupo XXL? Tulia dawa iwaingie
 
Efm daraja tu
ila majay nasikia amempa salary nzuri sana nasikia hata wewe usingeweza kuliacha hilo dau unajua bdozen ni brand hivyo efm wataingiza sana kupitia huyo mwana
 
Picha ya Hamisi iko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…