[emoji769] Clouds kwisha habari yake, hii media Ruge Mutahaba pekee yake ndio alikuwa anaiweza tutasikia mengi SanaAu ile kauli yake ya juzi kuhusu ile performance ya Diamond MTV base ndio imemponza.
Wanajiua wenyewe taratibu kwa vinyongo na beef zisizo na maana ,nimeona Majizzo kaposti kwenye page yake ya Instagram.
Sio Perfect uyo ni Kennedy the Remedy babuu,,,ila kweli Perfecto bado mzito mdomoni waga anachapiaga kinyaxXXL imeanza, huyu dogo Perfect Crispin Robidinyo Ze Mnyama Mkali anachapia sana aisee
Alitoa kauli fulani hivi akamalizia kwamba hajali kama Clouds watamfukuza
Kweli mchomvu hayuko serious ndo maana hata kipindi kilipewa mtu mwenye haibaNcha kali achukue kipindi ili akina mchovu wasipitilize mizaha..
Kennedy ajitahidi naye sio kila wakati sure sure
Ile tuhuma ni kweli mkuuHastahili kua na bebe?
[emoji2380]
Bro pole sana kwa kuumizwa hisia zako ila nikwambie tu umeumia buree sababu sielewi wewe umejishtukia kwa kipi,None of my business!
Kwa lipi? Mimi nilichokikataa ni wewe kusema UONGO dhidi ya Mandi.
Hiki ndicho ulichokisema ulitegemea nikujibu nini?
Hili swali lako ndo likafanya niandike sina tabia kama zako.
LMAO! i don't care!
But stop gossiping to watu who don't f*ckin show their personal life kwa public
Wewe na yeye hamna tofauti
PJ siku hizi simsikii radio,siku yuko wapi?Kuna yule jamaa PJ alikuwa anahangaika tu leo Efm kesho Clouds [emoji23][emoji23][emoji23]
Siumeona Leo XXL ilivyopwayaCMG sio rahisi kudorola kwa mfanyakazi mmoja tu kuondoka
Ni kweli kabisa kipindi Kama kipindi kinaweza ku shake kidogo na hii ni kwa muda mfupi sana
Tuangalie coverage Kwanza. Efm na Clouds ni redio gani ina coverage kubwa kuliko nyingine? Utagundua ni Clouds
Turudi kwenye XXL, huyo the Navigator hicho kipindi alikuwa peke yake? Jibu ni hapana. Kama ni hapana, ana nini cha ziada? Jibu ni ana kipaji, ameshajijenga hivyo ana ushawishi kwa jamii ya vijana na wanamuziki. Sawa, hapa unajiuliza je, ni rahisi kuhama na mashabiki wake wote? Hapa jibu ni hapana kwasababu hata XXL yenyewe watu wanapenda segment ya mwisho ambayo inakuwa mseto ikiongozwa na Mchumvo
Kwa hiyo utagundua huenda na yeye akakutwa na waliyokutana nayo kina Gardener walivyoondoka na baadae wakarudi
Clouds imeji establish sana kiasi kwamba mtangazaji mmoja sio rahisi kuua kipindi akiondoka. Nadhani aliyebuni utaratibu wa kuwaweka wengi aliona mbali
Kazi kubwa naiona kwake kuanza kuwashawishi shabiki zake wahamie alikohamia ikiwa ni pamoja na wadhamini wa kipindi maana hao huangalia coverage na audience
But all in all, wakati mwingine ni bora kutembea tembea kuliko kukaa sehemu moja. Huko akafanye cha tofauti zaidi ili watu wathibitishe talent yake
Inaweza ikawa kweli kama ameachiwa Kennedy peke yake (sijasikiliza kipindi), Kennedy bado kuna vitu vingi anatakiwa kuvifanyia kaziSiumeona Leo XXL ilivyopwaya
Mimi ni mtawa karibu kwenye parokia yetu ya Dodoma upate kuongoka!Bro pole sana kwa kuumizwa hisia zako ila nikwambie tu umeumia buree sababu sielewi wewe umejishtukia kwa kipi,
Wewe ni kijana wala sio mtoto kua na bebe halishangazi na kua na bebes halishtui pia, au ulikua una mpango wa kua padri?? Lol,
Kikubwa nikutakie kila la kheir huko uendako.
[emoji38][emoji38]
[emoji2380]
Gardner alivyoondoka Jahazi kipindi kilishake sana, wakapita watangazaji kadhaa lakini hakuna aliyeweza kufit, ikaubidi uongozi umwage pesa ndefu ya mshahara kumshawish kurudi tena, so tukubali tu kwamba Team ni kubwa kuliko mchezaji lakini wakati mwingine mchezaji anaweza kuifanya team iteterekeCMG sio rahisi kudorola kwa mfanyakazi mmoja tu kuondoka
Ni kweli kabisa kipindi Kama kipindi kinaweza ku shake kidogo na hii ni kwa muda mfupi sana
Tuangalie coverage Kwanza. Efm na Clouds ni redio gani ina coverage kubwa kuliko nyingine? Utagundua ni Clouds
Turudi kwenye XXL, huyo the Navigator hicho kipindi alikuwa peke yake? Jibu ni hapana. Kama ni hapana, ana nini cha ziada? Jibu ni ana kipaji, ameshajijenga hivyo ana ushawishi kwa jamii ya vijana na wanamuziki. Sawa, hapa unajiuliza je, ni rahisi kuhama na mashabiki wake wote? Hapa jibu ni hapana kwasababu hata XXL yenyewe watu wanapenda segment ya mwisho ambayo inakuwa mseto ikiongozwa na Mchumvo
Kwa hiyo utagundua huenda na yeye akakutwa na waliyokutana nayo kina Gardener walivyoondoka na baadae wakarudi
Clouds imeji establish sana kiasi kwamba mtangazaji mmoja sio rahisi kuua kipindi akiondoka. Nadhani aliyebuni utaratibu wa kuwaweka wengi aliona mbali
Kazi kubwa naiona kwake kuanza kuwashawishi shabiki zake wahamie alikohamia ikiwa ni pamoja na wadhamini wa kipindi maana hao huangalia coverage na audience
But all in all, wakati mwingine ni bora kutembea tembea kuliko kukaa sehemu moja. Huko akafanye cha tofauti zaidi ili watu wathibitishe talent yake
Baba Jonii amebuni kitu gani?Kiukweli mandi ni jamaa ambaye ana kipaji lakini sio creative, angeondoka Baba Jonii lingekuwa pigo kubwa maana yeye ndo jicho lao ktk upande wa ubunifu. Kila la heri Mandi u was born to shine men, go and shine out there.
Aangalie Leo aone namna Xxl ilivyopwayaGardner alivyoondoka Jahazi kipindi kilishake sana, wakapita watangazaji kadhaa lakini hakuna aliyeweza kufit, ikaubidi uongozi umwage pesa ndefu ya mshahara kumshawish kurudi tena, so tukubali tu kwamba Team ni kubwa kuliko mchezaji lakini wakati mwingine mchezaji anaweza kuifanya team itetereke
Anazungumzia huyu mropokajiBaba Jonii amebuni kitu gani?