Moshi wa Kumbi
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 165
- 100
Ukute huna ata mia mfukoni.Mimi na wewe uelewa wetu tofauti kabisa. Hatutakubaliana. Wewe jenga. Mimi pesa zangu naweka benki. Simple. Kwa nini nianze tena kujieleza? Nimesema watu wenye mawazo yako hayo wamejaa. Na wengi ni mbumbumbu.
Mtu unaweka pesa bank,na kujenga nyumba nzuri unajenga.Unanikumbusha zamani wakati niko kijijini. Nilipokuwa naona watu wamevaa safi, nikuwa natamani sana. Siku hizi nina hela zangu, kuvaa naona ni kujisitiri tu. Siku ukipata $ zako wala hautakimbilia kujenga. Amini usiamini. $ is king. House is never king!
Sisi tusio na nyumba Bongo tuna tabu sana. Wengine hawana nyumba lakini wana pesa benki. Wana gari nzuri na nyumba nzuri ya kupanga maeneo mazuri ya mji. Kwani kuna tatizo gani? Mbona watu ambao hajasoma huwa wanashabikia nyumba hivi? Tangu niko mdogo kijijini, wasomi walipokuwa wanatangulia mbele ya haki na kuja kuzikwa kijijini, mbumbumbu wa kijijini walikuwa wanawaongea vibaya sana eti kwa sababu hawakujenga nyumba kwao! Nimeishi nje kwenye nchi zilizoendelea, ambako watu wana pesa za kutupa, wala watu hawashobokei nyumba kiasi hiki. Watu wanaweka mapesa benki. Wakitangulia, wanaacha pesa kwa familia.
Mtu unaweka pesa bank,na kujenga nyumba nzuri unajenga.
Acha dharau na kudanganya watu, huko nje unakoishi wewe nyumba mnazopanga ni quality nzuri ambazo huku kwetu hakuna. Ni nyumba bora na saama.
Sisi tusiosoma sio kwamba tunashabikia nyumba, tunachoshabikia ni kuwa na nyumba bora na salama.
Tungekuwa na uwezo wa kupata nyumba bora, za bei za kumudu kama huko uliko, tungejenga kujifurahisha tu, na sio kama njia ya kutimiza hitaji muhimu la kuwa na makazi bora na salama.
Wewe unafikiri NHC au nayo mashirika ya serikali yanayopangisha wadosi na vigogo humu mujini kwa bei za kutupa, wangekuwa wanatupangisha na sisi nyumba zaao tungekuwa tunahangaika na mambo ya nyumba?
Acha dharau na kudanganya watu, huko nje unakoishi wewe nyumba mnazopanga ni quality nzuri ambazo huku kwetu hakuna. Ni nyumba bora na saama.
Sisi tusiosoma sio kwamba tunashabikia nyumba, tunachoshabikia ni kuwa na nyumba bora na salama.
Tungekuwa na uwezo wa kupata nyumba bora, za bei za kumudu kama huko uliko, tungejenga kujifurahisha tu, na sio kama njia ya kutimiza hitaji muhimu la kuwa na makazi bora na salama.
Wewe unafikiri NHC au nayo mashirika ya serikali yanayopangisha wadosi na vigogo humu mujini kwa bei za kutupa, wangekuwa wanatupangisha na sisi nyumba zaao tungekuwa tunahangaika na mambo ya nyumba?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tena hapo imepigwa puchi fasta-fasta baada ya msiba
Kama hata rangi imemshindaAibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Kama ni mwanamke wa uchagani sio kila kitu kinabadlika, usikariri kama nzi wa kijaniMwanamke akishaolewa anabadilishwa kila kitu mpaka majina mpaka kwao kuna change na ata akifa muamuzi wa mwisho kuamua azikwe wapi ni mumewe kwa Sisi wa tanga mke wangu atazikwa kwetu pakitokea msigano busara inaweza kutumika narudia ni busara tu ndio inaweza tumika akazikwe kwao ila kitaratibu za Kiimani lazima azikwe kwetu
Neno nasikia huwa linatumiwa na watu wasojielewaVmoney nasikia alikuwa anafake. Anashowoff instagram mambo bien kumbe kiuhalisia hali ni mbaya.
Mkuu mtu kuwa na pesa bank halafu zinaweza kwisha una maana gani?yaani mtu mwenye discipline ya kuweka akiba huyo huyo awe mjinga pesa zake ziishe?.ni hivi watu wote wangekuwa na akili finyu ya kutoweka pesa bank hizo bank zisingekuwepo na hata hizo pesa za kununua assets zisingekuwepo..ingebaki system ya barter trade ya kubadilishana vitu...heshimu sana watu wenye kuweka pesa iwe bank au nyumbani maana ndio wanao-control uchumi wa hizo assets!Hebu naomba ufafanue vizuri kuwa ulikuwa nje Nchi gani na ulikuwa unasomea nini? kwa sababu huo mtazamo wako unaonekana kama ni story za kijiweni na sio fact kutoka kwa Msomi
Kwa taarifa yako; hakuna msomi yeyote Duniani anajivunia kuwa na fedha bank pekee; labda mbumbu .... usidanganye watu
Watu hujivunia kuwa na Fixed Assets kama nyumba pamoja na uekezaji mkubwa kama wa mashamba, viwanda, biashara kubwa kubwa nk...... nafikiri umeona hapo sijataja magari.....
Mtu mwenye hela Bank kiuchumi huyo ni masikini mtarajiwa kwani muda wowote zinaweza kuisha akabia hana kitu....
Mostly Ni nyumbani Kwanza kwingine baadae.... ...haiwezekani nyumbani(kijijini) pawe pabovu..wazazi wanaishi kwenye Nyumba ya ajabu ajabu me Nina uwezowengi mnaojenga kijijini, mnajenga ku maintain status ni kama pride Fulani, wala hakuna linguine linalowasukuma kufanya hivyo.. which is sad... pride wengine sio tu pride hawana bali pia sio priority....
Maendeleo kijijini tafuta kwa nini hamna.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo unaweza kukuta kishawajengea vimada nyumba kibao!