Hamisi Taletale na PhD ya USD 2,500

Hajui lolote huyu mkuu, vilaza wanatafutiana excuse, eti Dr. Tale.....🤣
 
Dr.Taletale anastahili PHD kamtoa Diamond kimataifa kashinda uchaguzi bila kupingwa

Kushinda bila kupingwa kwa wengine kuenguliwa kwa hujuma?. Unawaengua wapinzani halafu unajisifu umepita bila kupingwa?. Halafu kumuibua msanii ndio Nini? Kuna mameneja wangapi wameibua wasanii kimataifa Tena majuu na hawashobokei PhD za kununua Kama Alina Babu tale.
 

Hakuna Cha wivu kwa mtu kupewa PhD ya kununua kam Babu Tale.Wivu ni kwenye PhD ya halali.
 
View attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500

Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
upuuzi huu tuilaamu ccm. iliendekeza kuteua watu wenye pdh...saa hiki kirusi kimeingia kila mahali hadi viongozi wa dini wengi wanaojiita madokta wametumia sadaka wakanunua udhalimu huu
 
upuuzi huu tuilaamu ccm. iliendekeza kuteua watu wenye pdh...saa hiki kirusi kimeingia kila mahali hadi viongozi wa dini wengi wanaojiita madokta wametumia sadaka wakanunua udhalimu huu
Wachungaji na maaskofu wa vikanisa uchwara wengi siku hizi wanajiita madokta 😆😆
 
Dr.Taletale anastahili PHD kamtoa Diamond kimataifa kashinda uchaguzi bila kupingwa
Yamesaidia nini kwenye maendeleo ya nchi kwa ujumla na raia mmoja mmoja?! HUNA AKILI KABISA WEWE!


huyo diamond anakusaidia nini wewe?! Au alijenga shule watoto wa masikini wakasoma bure?!


Kuchaguliwa kwake bila kupingwa kumewahi kukunufaisha nini wewe au taifa kwa ujumla?! We ni raia wa jimboni kwake?! Fikiri na uongee kama umepevuka kiakili. Ndo alijisemeaga MIRAJI KIKWETE..., "wabongo wengi waliokataa kujitambua na kujielewa hutumia matako kufikiri"
 
Hao wanaojifanya kupayuka kuhusu PHD za kupewa(ambapo naona ni wivu wa kijinga tu)ndo wakwanza kwenda kwa sangoma na wanawaita hao ma sangoma ma fundi…waache uchawi hzo PHD za kununuliwa hazifanyi mtu aonekane wa maana wkt kichwani hana mawe..kuna wenye hzo Phd za darasani lakini wanaonekana vilaza kwa wanaojua
 
Dr. Khalid Aucho tulimpa udakitari hapa hapa Bongo why Babu Tale akaununue udakitari nje kwa dola 2,500?
Ifike wakati huu udaktari na uprofesa wa kujibandika ubaki kwa waganga wa kienyeji na wasanii, vinginevyo tutazidi kuchanganya mambo.....
 
Hivi babu tale kafanya kitu gani hasa cha naana kwenye nji hii hadi kupewa hiyo PhD...??
 
Wachungaji na maaskofu wa vikanisa uchwara wengi siku hizi wanajiita madokta 😆😆
yaani acha tu...unakumbana na mtu unajua aliishia darasa la saba. hata elimu ya theolojia ngazi ya cheti hana, lakini eti anaitwa Dokta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…