Ujinga wako tu. Newton alipewa uprofesa na kufundisha chuo kikuu akiwa hana hata shahada ya kwanza; kilichozingatiwa ni uvumbuzi wake wa nguvu ya uvutano (gravitational force) na mengine yakiyofuata.
Diamond alianza muziki kwa wimbo wake maarufu wa Mbagala, mbele ya nyumba jalala. Huyu babu Tale aliyemuibua Diamond toka jalalani mbagala kumfikisha hapa alipo kuna ubaya gani kutunikiwa udaktari wa heshima?
Mbona hawa wanaoliangamiza taifa wakipewa hizo heshima hamsemi?
Have we lost our civility to this extent?
Acheni wivu. Babu Tale more than deserves that honor.