Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500
Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
Hujaangalia Bunge?.Aliyesema hivyo ni Mh. Spika au nimeelewa tofauti...?
Ya Samia inaonekana kabisa ila ya hawa jamaa, kina Jafo hapanaIla kajitahidi sana kutetea ya Dr Samia[emoji23][emoji23]
😂😂😂 Hii nmecheka mpanda kidogo nipindue gari, mngepata breaking news kuna gari imegonga Fuso uso kwa uso,View attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500
Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
😂😂😂Ya Samia inaonekana kabisa ila ya hawa jamaa, kina Jafo hapana
Ila kaliongea kwa uchungu sana na hili swala yataliwa TCU ilikazie, Vyuo Vikuu pekee ndio viruhusiwe kutoa Degree za HeshimaHujaangalia Bunge?.
Takriban dakika 30, zilikua zamotoo.
Nahisi Dr Taletale, alipatwa na muhalo [emoji23]
Baba levo alipewa na chuo cha ndani city health collegeView attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500
Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
Hata ubunge wa tale nasikia ni damu ya mkewe huyu jamaa ana roho za kigaidi sanaView attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500
Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
Babuuu , hii ya Kupewaz binafsi nilitaman apewe mtu ambaye kafanya makubwa sana, kaja na solution ya maana kwenye tatizo fulanIla kaliongea kwa uchungu sana na hili swala yataliwa TCU ilikazie, Vyuo Vikuu pekee ndio viruhusiwe kutoa Degree za Heshima
Alipewa PhD?!Baba levo alipewa na chuo cha ndani city health college
Ndio kuna Chuo cha Kata (College) huko kilimtunuku cheti cha Heshima Baba LevoAlipewa PhD?!