Pole sana zarinaSio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko
Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
Wamelala woteKuuza papa uongo Milly mwenyewe anaotea tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mondi ni hamisa ni washenzi sana tuu sisi mashabiki maandazi kazi tunayo
Ushawahi kupenda?!!achaaa sio mitandaoni ht uswahilini!mwanamke anafanya chochoteNa sifa za mitandaon kuitwa kiboko ya fulan atamuachia nani. Wanawake sie akili zetu uwiii sijui nani alitulegezea nati za ubongo
Walikua pamoja acha picha iliyovuja kuna clip amesnap misa[emoji1] [emoji1] [emoji1] dai anaongea anamuita sallaam sk daah
Niwe mkweli Zari mwenyewe ndo anataka yote haya kama aliweza kumuacha Ivan aliyeishi nae for 15yrs anakubali vipi kudhalilishwa na hiki vitoto(Misa na daily)au ndo hana pa kuegamia
Diamond anakosea sana ht km kick as he said kua lile soo la kuzaa na mobeto limempandisha ila kama hamtaki amuache Dada wa watu
Hamisa nae anakosea au ndo analipiza kama yeye alivyoibiwaga Majay na Lulu?
Mi Leo sijapenda maana I know how it feels when somebody's akikuchit tena hadharani
Da zari tafuta age mate!![emoji125] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Anaumia mnoo yuko kwenye kipindi kigumu ila wanaume ni malaghai hujui mda gani anakupenda mda gani hakupendiIla mi najiuliza wanaume nani kawaloga?
Kwa hili namtetea Zari asee, wanawake walimnanga Domo kuwa hazai, hana kizazi, kumbe wanatoa mimba zake....maskini Zari kaamua kumfichia aibu yake na kumzalia halafu badae unamfanyia mtu hivi?
Zari atakuwa anaumia vibaya mnoo
Ushawahi kupenda?!!achaaa sio mitandaoni ht uswahilini!mwanamke anafanya chochote
Both Zari and hamisa are madly inluv with the guy the problem mmoja anajulikana mwingine amekubali kama mbwai iwe mbwai
Hapo mwanaume ndo mwenye final say!
Nimekuelewa sana numbisaMoyo wa mtu kichaka,wakati mioyo yetu inasukuma damu pekee,ya wengine inasukuma hadi chapati
nnachompendea zari ni ustrong hata kama anaigiza ila yupo imara maana wengine tukitikiswa kidogo tu kama sio kuchafua watsup basi ni kununa siku nzima hata kwa ambao hawapo kwenye mvurugo huo
Hamisa anapitia alipopita wema,penny na wengineo maana dai kwa ushauri wa akina saalm wanaangalia penye faida na kiki na sio penzi la kugandana na kuchunana. Sio kosa lake bali akili zake zinamtuma hivyo ipo siku atapata anachokitafuta hata kama ni mapacha
Ayaaa acha hizo,age mate kitu gani hata age mate wanasaliti tu cha msingi ni kujielewa na kuelewa hali halisi ya mahusiano aliyopo. Huwez jua alimvumilia ivan kwa kipind gan mpaka akaamua kujiondokea
Pole sana zarina
Unamteteaga sana uyoKampe kwenye account yake insta
Uzuri umeshasema moyo wa mtu kichaka basiiDai anauwezo wa kumcontrol hamisa kwa asilimia 100% na sio zari. Kama angeweza kumwendesha zari atakavyo zari angehamia bongo mazima
Mwanamke anayependa kupituliza anatabia za wema kwa jumbe maana alifikia hatua ya kumtukana mama yake,kuvunja kioo cha gari la kanumba etc
Zari naamin hajafikia hatua hizo ana full maamuzi ya wanae wote,nyumba ya sauz anaiendesha atakavyo. La sivyo akina esma wangeshajazana kwa madiba zamaan
Mpk asubuhi[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1]Wamelala wote
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] atashushuliwaaaKampe kwenye account yake insta
Diamond hamheshimu Zari kabisa, mark my word! Yaani ni ile " akufukuzae hakwambii toka" yaan Domo kamchoka tukinao ni ile tu basi
Mi mtu wa karibu kabisa na Domo kaniambia uhusiano wa tununu na domo uko vile vile na Domo kafa kaoza kwa chuchunge
Haki hivi viumbe havieleweki asee..Anaumia mnoo yuko kwenye kipindi kigumu ila wanaume ni malaghai hujui mda gani anakupenda mda gani hakupendi
Saaaaaddd!
Zari ana moyooo
Unamteteaga sana uyo
Uzuri umeshasema moyo wa mtu kichaka basii
Kwa haya niyaonayo mimi...
Zari na hamisa wote sawa!
Esma na uchizi wake kwa madiba kumemshinda!Dai anauwezo wa kumcontrol hamisa kwa asilimia 100% na sio zari. Kama angeweza kumwendesha zari atakavyo zari angehamia bongo mazima
Mwanamke anayependa kupituliza anatabia za wema kwa jumbe maana alifikia hatua ya kumtukana mama yake,kuvunja kioo cha gari la kanumba etc
Zari naamin hajafikia hatua hizo ana full maamuzi ya wanae wote,nyumba ya sauz anaiendesha atakavyo. La sivyo akina esma wangeshajazana kwa madiba zamaan
Wema atulize kipago yule kwa sasa analiwa msingi kulipiwa hoteli tuu!no more luv!Haki hivi viumbe havieleweki asee..
Mwanaume ukimuonesha unampenda sana huwa anageuka, anajua huna pa kwenda
Refer na Wema kumfanyia hadi birthday kwa gharama zake!??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yaani hapo Wema kategesha kwa Domo amrudie khaaa!