Hamissa Mobetto ametua Jana akitokea Dubai, Diamond yuko wapi kwa sasa?

Nafurah povu unalonitolea inaonekana ulitaman sana kwa kipindi kirefu kufanya hivi ila sijui nini kilikukwamisha. Welcome am okay.toa frustration yako yoooteeee uliyonayo leo wala sitamind me mwelewa mama.
Sijakurupuka nimekujibu na kukuquote kama ambavyo siku nyingine nafanya.
Sirumbani ninakupa usichotaka kukisikia.
Alafu sikia,watu tunamquote Max Melo sembuse wewe!
 
Mahaba nigaragaze!
Nikimuunga mkono ananiona Jembe nikiwa kinyume naye ananiona Hater.
Zari mmbeya sana alafu anapenda sana maneno.
Ndio maana comments tu huwa zinamwendesha.
Anasoma kila comments IG I bet hana kazi ya kufanya[emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124]maana anablok vibaya mnoo na kila page ya umbea anaifatilia na kulike pia
 
Nafurah povu unalonitolea inaonekana ulitaman sana kwa kipindi kirefu kufanya hivi ila sijui nini kilikukwamisha. Welcome am okay.toa frustration yako yoooteeee uliyonayo leo wala sitamind me mwelewa mama.
Wewe !
Mimi sipo static humu,sina mahaba na msanii wala icon yeyote.Akiwa right ntaona hilo ila akiwa wrong pia nitaona.Sio lazima tufanane bear with that and learn to be tolerant!Usichukulie personal
Alafu ushabiki ukizidi sana huwa upoyoyo,Watch It!
 
Ila Zari kama kweli ana pesa na strong lady amove on...mondi bado anakula ujana naamini hana life ndo maana anakomaa na dai maana ataumbuka mjini
 
Anasoma kila comments IG I bet hana kazi ya kufanya[emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124]maana anablok vibaya mnoo na kila page ya umbea anaifatilia na kulike pia
Anafatilia page zote za Udaku kwa karibu mno!
Boss lady!
 
Hana ubavu huo!
Trust me.Zari anamuhitaji Diamond sana kuliko Diamond anavyomuhitaji Yeye.
 
Anafatilia page zote za Udaku kwa karibu mno!
Boss lady!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bossylady gooosh!

Hana maisha mi nakuambia kwa sasa diamond ndo kila kitu ashukuru kazaa tu ndio anategemea child support!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bossylady gooosh!

Hana maisha mi nakuambia kwa sasa diamond ndo kila kitu ashukuru kazaa tu ndio anategemea child support!
Wanamita BossyLady!
Wanaamini Diamond hamgharamii kwa lolote kisa ana magari!Ambayo Diamond asingeingilia kati yangeuzwa kulipa madeni .Thanks to Ivan
Zari ni golddigger kama Hamisa tu.
Tukinao na Tununu.
 
Ndo maana nilijibu kifupi na kusema amin unachoamin na mie naamin nnachoamin. Ila ni kama unalazimisha nikubaliane nawe nakuona hapo ukifurahia comment zinazokusapoti. What a weekend!!! Wacha nimalizie weekend yangu salama.

Take it or leave it i dont care ciao!!
 
Sawa bosslady...unajua Zari anakwenda chooni kama mtu mwingine lakini?
Sikulazimishi kuwaza kama mimi,wewe ndio unaona kila aliyr kinyume na wewe ni Adui!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bossylady gooosh!

Hana maisha mi nakuambia kwa sasa diamond ndo kila kitu ashukuru kazaa tu ndio anategemea child support!
Na atazaa tena...na atacheatiwa tena.Hana uspesho wowote.Ana akili ya kugrab chances na opportunity.Kwanini Alikuwa natoa mimba za kina Farouk lakini Za Dai hajatoa?aliwaza mbali,Dj asingempa maiaha anayotaka na umaarufu.
 
But she is everything in his life....rejea kutembea kwa magoti dar to sauzi....

hakuna shujaa wa vita anayeweza kushinda vita iwapo nyumbani ana ugomvi na mkewe....domestic peace brings success to a strugling man.

zari kabeba 90% ya mafanikio ya domo...alipokuwa na dada zetu ziro brains hawa alikuwa wa kawaida sana....na asingekuwa na zari tayari hamorapa angeshamfunika mbaya.
Ujio wa zari ndio uliobadilisha maisha ya domo...

kampa exposure na kamjengea confidence kama mwanamme kwa kumzalia na kama mfanaya biashara kam brand.

Tuwe wakweli tuu...zari katengeneza almost a billion tshs kwenye single event ya zari all white party....ni mwanamke gani wa domo mwenye akili hizo?....zari kichwa inafikiri zaidi ya mashine...

achana na hawa wanaolipiwa tickets wakaliwe kiboga dubai wakipata mimba wanakimbilia mahakamani kuomba child support....TRUTH BE TOLD...NOW OR LATER.
 
No man can fall in love with hamissa,,,,,tamaa tu ndio zinawapeleka pale,,,matter of fact kipindi nipo chuo,mshikaji wangu alikua anamla hamissa,,and they met at bills,,
Huyu malaya wa kawaida sana basi tuu njaa zetu wanaume....hana quality za kusema mtu unagonga mpaka mimba na mtoto juu. Hawa ni type za kuvaa ndom 2 x 2....upstairz hakuna kitu kabisa...kweli mungu hakupi kila kitu ila wapo wachache waliopendelewa kila.kitu...zari is amongst the few blezzed ones.
 
Tatizo Esma hajui kiingereza, we unafikiri Kwa Madiba wanaongea kizaramo kule kama Msanga?

Ha ha ha mkuu umenichekesha sana...yule dada muonekano wake na mwemyewe alivyo tofauti kabisa.
 
Afadhali na team wema walikuwa wanampigia na kura domo kipindi cha tuzo lkn hawa team zari wao kushindana na hamisa tu
 
Sidhani kama mambo yao yanatuhusu sana. Fanyeni kazi vijana huu umbea hautawafikisha popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…