we jamaa unazungumzia uandishi upi wa habari. sledi inaongelea journalism, filamu peleka kwenye jukwaa la bongo movie mkuuUandishi wa habari unanyambulikaje? Vipi kwa mfano Mwandishi wa Script ya filamu naye anatakiwa diploma?.
Kama nani??Hapa katikati radio ziliajiri hadi watu wasiojua kusoma na kuandika kwahiyo kujiendeleza siyo kazi rahisi inabidi uanze kufundishwa kuumba Herufi
Filamu sio habari?.we jamaa unazungumzia uandishi upi wa habari. sledi inaongelea journalism, filamu peleka kwenye jukwaa la bongo movie mkuu
Sasa mwenye shule anaweza panda juu ya meza studio?Chumviiiiiiii.
Ndimuuuuu.
Kumbe shule 0😁
Walikuwa wanaziba nafasi tu za vijanaHata swebe santana nunda
Au makelele yasiyo na tija,shenzi kabisa 😀Sasa mwenye shule anaweza panda juu ya meza studio?
Cha form 4 au six unadhani kinapatikana ki rahisi hivyo tena kwa umri wao huu!!utengeneze kwanza leaving certificate!!kingekuwa cha taaluma tu ingekuwa rahisi!!Kwa akili zako timamu unaamini Kitenge na Zembwela hawana hata vyeti vya kununua hadi waje bodi ya waandishi iwakute? Utakua hauko serious.
DiplomaStashahada ndo cheti?
Mbona wakati wa udawała wa Kikwete mawaziri wengi sana walikuwa na degree za kijinga ambazo hata hazijulikani lakini wakapewa uwaziri na kuboronga wizara zao huku JK akiwachekea tu kwa kutojuwa kazi zao.Vyeti wananunua na kutengeneza sana ni certificate & diploma hivyo vya degree rahisi sana kushtukiwa watu wanazingatia sana.
Mbona wakati wa udawała wa Kikwete mawaziri wengi sana walikuwa na degree za kijinga ambazo hata hazijulikani lakini wakapewa uwaziri na kuboronga wizara zao huku JK akiwachekea tu kwa kutojuwa kazi zao.
Cheti cha four kukipata sio rahisi Kama unavyojaribu kuongea hapa.Kwa akili zako timamu unaamini Kitenge na Zembwela hawana hata vyeti vya kununua hadi waje bodi ya waandishi iwakute? Utakua hauko serious.
Komredi Philip MlugoMbona wakati wa udawała wa Kikwete mawaziri wengi sana walikuwa na degree za kijinga ambazo hata hazijulikani lakini wakapewa uwaziri na kuboronga wizara zao huku JK akiwachekea tu kwa kutojuwa kazi zao.