Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

Umeandika pumba. Sehemu yoyote mtu unafanikiwa ukijua panahitajika nini. Tatizo ni kukurupuka. Ukishaambiwa Singida viatu vinalipa unakimbilia huko badala ya kufanya utafiti wako binafsi. Kuna watu wako huko Namanyere wanatajirika... wengine wako huko Kasanga, Kala, Wampembe, na Kipwa wanajipigia tu hela. Hizo sehemu hata barabara kufika ni shida ila kuna matajiri. Wewe jipange upya. Singida sio pabaya kiasi hicho.
 
Hili nalikataa tena wewe umeenda miaka hii singida kuna lami kila kona. Nilianza kazi wilaya ya Iramba awamu ya kwanza ya JK kuko choka mbaya hakufai kuishi mtu na asilimia kubwa ya watu wenye hela na miradi mikubwa ni Wachaga wangewakataa wasingekuwa wengi vile

Mambo Ya kiomboi
Ukiingia na Esta kila mtu anajua kuna mgeni

Maisha ya kule [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Arusha itoe hapo
Weeee Arusha njoo na lugha ya kingereza tu ni pesa tyupu juzi katika moja na 2 nimekutana na wazungu 8 hawajui stend kuu waniuliza nikawapeleka mpaka ndani ya gari la kwenda Moshi palepale nikatandikwa dola 30 sasa utasemaje mkoa mgumu kutafuta watu wapo siriaz na pesa ipo kibao ni maujanja yako tu.
 
mkuu utakaza vipi?
mfano mkoa wa Lindi mjini watu wapo busy wanacheza tu bao,ukipita kama ni mgeni unaanza kuona watu wanakushangaa kama vile wewe ni hifadhi ya TANAPA
Hii kitu nai-experience sana huku Kilimanjaro, ukiwa mgeni tu macho yote kwako. Ni kama wanakuona sio mwenzao, na mkianza stori lazima wakuulize kabila.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Weeee Arusha njoo na lugha ya kingereza tu ni pesa tyupu juzi katika moja na 2 nimekutana na wazungu 8 hawajui stend kuu waniuliza nikawapeleka mpaka ndani ya gari la kwenda Moshi palepale nikatandikwa dola 30 sasa utasemaje mkoa mgumu kutafuta watu wapo siriaz na pesa ipo kibao ni maujanja yako tu.
Hao wazungu wakukupa dollars 30 utakuwa unawapata kila siku?
 
Umeandika pumba. Sehemu yoyote mtu unafanikiwa ukijua panahitajika nini. Tatizo ni kukurupuka. Ukishaambiwa Singida viatu vinalipa unakimbilia huko badala ya kufanya utafiti wako binafsi. Kuna watu wako huko Namanyere wanatajirika... wengine wako huko Kasanga, Kala, Wampembe, na Kipwa wanajipigia tu hela. Hizo sehemu hata barabara kufika ni shida ila kuna matajiri. Wewe jipange upya. Singida sio pabaya kiasi hicho.

Nimeshangaa sana,mtoa mada anaonekana mvivu sana wa fikra!
 
Hii kitu nai-experience sana huku Kilimanjaro, ukiwa mgeni tu macho yote kwako. Ni kama wanakuona sio mwenzao, na mkianza stori lazima wakuulize kabila.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Upo kwetu kilimanjaro mkuu, aiseee karibu sana, kikubwa usiwagasi sana wala kuwasikiliza wachagga na wapare, wewe kuwa kimya huna haja ya kujitambulisha kwa wachagga wala wapare.
 
Back
Top Bottom