Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni talalila. Usiteseke sana bro, take it easy, vijiwe vya kukaa chini ya miti sasa vinahamia vidoleniUmeanza talalila zako! Kwa ushahidi upi?
Labda ukichora tattoo ya malaika au Yesu ndipo utaonekana una tabia nzuri...Perception ya jamii kwa baadhi ya vitu hasa sisi waafrica ni changamoto kukubali
NitagKuna kisa nitakuja kukisimulia hapa siku moja
Kweli kwa afrika ngumu sanaLabda ukichora tattoo ya malaika au Yesu ndipo utaonekana una tabia nzuri...
Bro, mimi baada ya kumaliza form four, enzi zile likizo ya Mkapa, nikachora tatoo, kabla ya hapo nilikuwa mtoto mzuri kabisa, ila baada ya matatoo,Umeanza talalila zako! Kwa ushahidi upi?