Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Kwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo?

Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.

Mabinti wengi wenye tatoo hawaithamini tena miili yao, ndio maana wako tayari kufanywa popote ili mradi tu wapate pesa.

Wengi baada ya kuchora tatoo wakajikuta wana hamu ya bangi, sigara na madawa ya kulevya.

Hata Mungu mwenyewe ndio maana alikataza kuchora tatoos.

Law 19:28 SUV​

Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA
Ni kweli tattoos sio nzuri, lakini, wapo mabinti hawajachora tattoos lakini wafukunyuliwa kotekote kama hawana akili nzuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear mie nataka tattoo enyewee, bado fundi cjampata, tena nachora kiunoni, mbelee na nyuma, [emoji1652].
Na mie natafuta fundi. Nimpanulie anichore kwenye uchi
 
Njoo geto nikuoneshe, msijifariji kwq kuharibu ngozi zenu
Jamaa hajakosea kukuuliza kama umetahiriwa ama laah, nafikiri alikuwa na maana nzuri ya kuanzisha mjadala unaojenga juu ya comment ambayo uliitoa kule juu (aliyoi-quote yeye)

Wewe ulidai kuwa (kwenye ile comment), huwezi kuchora tattoo kwakua kufanya hivyo ni sawa na kumkosoa Mungu alivyookuumba. Sasa kauliza kama umetahiriwa ili ajue, ikiwa umetahiriwa huoni kwamba unapingana na ile comment yako juu??

Kwanini ukate govi, huoni kwamba unampiga Mungu jinsi alivyokuumba?😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear mie nataka tattoo enyewee, bado fundi cjampata, tena nachora kiunoni, mbelee na nyuma, [emoji1652].
Duh
Wewe kidume qumbu zimening'inia na tattoo ya kipepeo mbele na nyuma ya kiuno wapi na wapi au ndy uchoko umekuzidi
 
Jamaa hajakosea kukuuliza kama umetahiriwa ama laah, nafikiri alikuwa na maana nzuri ya kuanzisha mjadala unaojenga juu ya comment ambayo uliitoa kule juu (aliyoi-quote yeye)

Wewe ulidai kuwa (kwenye ile comment), huwezi kuchora tattoo kwakua kufanya hivyo ni sawa na kumkosoa Mungu alivyookuumba. Sasa kauliza kama umetahiriwa ili ajue, ikiwa umetahiriwa huoni kwamba unapingana na ile comment yako juu??

Kwanini ukate govi, huoni kwamba unampiga Mungu jinsi alivyokuumba?😂
Nimetahiriwa
 
FB_IMG_1673647083221.jpg
FB_IMG_1673647073098.jpg
FB_IMG_1673647063495.jpg
FB_IMG_1673647057585.jpg
FB_IMG_1673647083221.jpg
FB_IMG_1673647073098.jpg
FB_IMG_1673647063495.jpg
FB_IMG_1673647057585.jpg
 
Na zina mzuka hizo ukipiga tatoo moja lazima ukaongeze ingine yaani lazima kama zima mashetani vilee
 
Back
Top Bottom